komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mmekuwa punguani mpk ss mmeanza kuvaa chupi kichwani, yn u dare comparing the giant Kilimanjaro with a gentle slope!!
Hata Kilimanjaro pia! BTW peak ya Kibo Ipo broad!
Ningekuwa mimi ndiyo Rais Magufuli ningelivunjilia mbali shirika Hifadhi za mbuga za wanyama TANAPA kwa uzembe wanao ufanya wa kuto tumia vyomno vya kimataifa kuzitangaza mbuga zetu za wanyama na mlima wetu Kilimanjaro.Wakenya wote waione kwenye jaladaView attachment 1724724
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwamba tangia miaka ya 60's leo ndio mmejua kusoma ramani? [emoji1] Kila mtu anajua kwamba Ml. Kilimanjaro upo Tz. Ila ukitaka kuona 'the best views' za mlima huo hutazipata sehemu nyingine, isipokuwa Mbuga la Wanyama la Amboseli, Gatuzi la Kajiado, nchini Kenya. [emoji41] Pateni uhondo kidogo.![]()
Kwahiyo huku hauonekani au sio, huko kwenu wataishia kuuona kwa mbaaaliii ila wakitaka kuu enjoy na kuupanda huu mlima ni lazima waje Tz, tunashukuru sana Wakenya kwa kututangazia mlima wetu, tunashukuru sana tunaomba muendelee hvyo hvyo ili gape la receipt from tourism sector lizidi kupanuka na kuongezeka maradufu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545]Amboseli National Park, Kenya. Home of the Best Views of Mt. Kilimanjaro. MAGICAL KENYA! [emoji41]![]()
Ruwenzori has more snow than Kilimanjaro. I know Geography ain't your forte.
That's based on personal opinion and that isn't what we're discussing now.But Kilimanjaro is the most attractive Mountain in Africa.........
Sasa kati yetu punguani ni ni nani? Rudi juu kwanza ukasome kinachojadiliwa kuhusu hili acha kujitoa ufahamu hapaKwamba mmekuwa punguani mpk ss mmeanza kuvaa chupi kichwani, yn u dare comparing the giant Kilimanjaro with a gentle slope!!
Povu zito la omoRuwenzori has more snow than Kilimanjaro. I know Geography ain't your forte.
kisha mupate wapi pa kupigia picha nzuri nzuri zilizokwenda shule?Tutaweka pazia siku si nyingi
Amboseli ni kuzuri sana jombaa. [emoji41]Kwahiyo huku hauonekani au sio, huko kwenu wataishia kuuona kwa mbaaaliii ila wakitaka kuu enjoy na kuupanda huu mlima ni lazima waje Tz, tunashukuru sana Wakenya kwa kututangazia mlima wetu, tunashukuru sana tunaomba muendelee hvyo hvyo ili gape la receipt from tourism sector lizidi kupanuka na kuongezeka maradufu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545]
Unaumwa, Mt. Kenya ina theluji pia, alafu ipo kwenye ikweta kabisa. Maajabu ya Mungu.KILIMANJARO, The only place in tropic one can see a snow.
Unaumwa, Mt. Kenya ina theluji pia, alafu ipo kwenye ikweta kabisa. Maajabu ya Mungu.