Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
The story goes kipindi hizi nchi hazijapata uhuru, wakoloni walikaa wakagawana mipaka, ubishi ulikuwa kwenye Kilimanjaro na bandari ya Mombasa, wakaamua wagawane kimoja kimoja.
Bandari at the time up to date inaingiza pesa nyingi kuliko mlima. So in Germany's reasoning "ni bora nichukue mlima bandari nitaijenga kuliko kuchukua bandari halafu mlima siwezi jenga".
Do you think they was right?
Imagine Tanzania tungekuwa na Bandari ya Mombasa + Bandari ya Dar es salaam tungeizidi Kenya maendeleo?
Who won the deal and why?
Comment ziwe fupi fupi