Ni sawa na mfuga broiler town na mfuga ng'ombe kijijini. Una broiler 500 ukiwauza kwa bei ya 7000/piece unapata 3,500,000 na mfuga ng'ombe kijijini mwenye ng'ombe 100 na kati ya hao 20 wanaweza kuingia sokoni kwa bei ya 400,000/piece ni kama 8,000,000 ila hujiulizi kwa nini huyu mfugaji wa broiler mjini unaweza kukuta ana maisha na life style bora kuliko huyu mwenzie wa kijijini. So kipi ni bora kati ya mlima au bandari ni jinsi kila nchi imeona potential za ilichonacho na kuzitumia. Unaweza kuwa na milima mia usifaidike nayo ila pia unaweza kuwa na bandaei mia zisikusaidie.