Mount Kilimanjaro or Mombasa port?

Mount Kilimanjaro or Mombasa port?

Ni sawa na mfuga broiler town na mfuga ng'ombe kijijini. Una broiler 500 ukiwauza kwa bei ya 7000/piece unapata 3,500,000 na mfuga ng'ombe kijijini mwenye ng'ombe 100 na kati ya hao 20 wanaweza kuingia sokoni kwa bei ya 400,000/piece ni kama 8,000,000 ila hujiulizi kwa nini huyu mfugaji wa broiler mjini unaweza kukuta ana maisha na life style bora kuliko huyu mwenzie wa kijijini. So kipi ni bora kati ya mlima au bandari ni jinsi kila nchi imeona potential za ilichonacho na kuzitumia. Unaweza kuwa na milima mia usifaidike nayo ila pia unaweza kuwa na bandaei mia zisikusaidie.
Kwahyo unasema waTz hatujui kuutumia mlima?
 
Mimi ninaweza kuwa na bandari kama ya mombasa,ila wewe huwezi kuwa na mlima kama mlima Kilimanjaro...
Hiyo ndo kanuni👆👆👆👆
 
Bora mlima ungekuwa Kenya. Huu ujinga wa ccm ningekuwa nausoma JF tu
 
Kwahyo unasema waTz hatujui kuutumia mlima?
Sijaona na sijui statistics za mapato ya kila kimoja so kama mkenya anafaidika na bandari kuliko tunavofaidika na mlima then pigia mstari ulichokiuliza ndo jibu
 
Mimi ninaweza kuwa na bandari kama ya mombasa,ila wewe huwezi kuwa na mlima kama mlima Kilimanjaro...
Hiyo ndo kanuni[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Ila sasa mpaka uje uwe na bandari kama Mombasa kwa hii trend sio leo sio miaka 100 ijayo...imagine saivi ungekuwa na miji miwili mikubwa yani kama dar mbili hivi ungekuwa wapi?
 
Tatizo hapa ni akili tu , hata tungepewa bandari + mlima bado miaka 50 ingekuwa kama hii yaleo. Wamarekani wakipewa tanzania baada ya miaka 50 tanzania inakuwa sawa na marekani, ila sisi tukipewa ile nchi baada ya miaka 50 inarudi kuwa tanzania..

Elimu kwanza alafu tuelimike hapa tayari tumefanikiwa

The story goes kipindi hizi nchi zinapata uhuru, Nyerere na Jomo walikaa wakagawana mipaka, ubishi ulikuwa kwenye Kilimanjaro na bandari ya Mombasa, wakaamua wagawane kimoja kimoja.

Bandari at the time up to date inaingiza pesa nyingi kuliko mlima. So in Nyerere's reasoning "ni bora nichukue mlima bandari nitaijenga kuliko kuchukua bandari halafu mlima siwezi jenga".

Do you think he was right?

Imagine Tanzania tungekuwa na Bandari ya Mombasa + Bandari ya Dar es salaam tungeizidi Kenya maendeleo?

Au Nyerere was right in foreseeing the far far future akijua kabisa kuwa kizazi chake na kijacho hakitaona direct matunda ya uamuzi wake?

Comment ziwe fupi fupi
 
Kwa kuwa tuna ma GT humu jf ka nyiye, ni nini kinatuzuia tusianze kampeni ya kuurudisha Mombasa nyumbani na Kenya wakachukua limlima lao?? Ubishi si utaisha?? Tumekaa ni hili limlima miaka yoote hatuoni faida yake, ila tunaona Mombasa port ikiingiza mahela kila uchwao. Tuwarudishie limlima lao hadi Moshi nao watupe Mombasa yetu. Kweli JF tuna ma GT
 
Ila sasa mpaka uje uwe na bandari kama Mombasa kwa hii trend sio leo sio miaka 100 ijayo...imagine saivi ungekuwa na miji miwili mikubwa yani kama dar mbili hivi ungekuwa wapi?
Mombasa si bandari kubwa kama unavyodhani kiasi ambacho hakuna nchi inayoweza kuwa nayo... ukijaribu kuangalia Tanzania pekee ina bandari zaidi ya nne zinazotumika ipasavyo,tofauti na kenya wanaotegemea bandari moja...halafu mbona ni hesabu za kawaida tu kwa mtu mwenye akili timamu,ebu fikiri una nchi ambayo ina ufukwe mreeefu zaidi afrika,then unapewa uchague kati ya bandari na mlima mlima mrefu zaidi Afrika,huwezi kuchagua bandari...labda uwe chizi!
 
Tanzania Tourism revenues are twice as Kenyas, what are you doing with all the resources you have? You have a national park hapo Nairobi west mmefanyia nini?
Before we think of what we don’t have lets at least think of what we have, what have you done with what you have?
Watalii zaidi ya 2million huwa wanaingia Kenya kila mwaka, hebu tupe idadi ya watalii ambao wanazuru Tz ili tujue kama wewe pia ni robot.
 
wapi fedha za Mt Kenya? idiot!
wapi fedha za Mt Kenya? idiot!
Kibwengo mkubwa wewe. Si Kila siku huwa mnalialia humu kwamba tunafaidi na Ml. Kilimanjaro? Sasa wewe tueleze mmefaidi kivipi kutoka kwa Mombasa na bandari yake. Kwasababu navojua mimi ni kwamba bandari ya Mombasa ndio inafaidi kutoka kwa biashara ya wenyeji wa kaskazini Tz.
 
umesema mngekuwa na Mt Kilimanjaro mna Mt Kenya 5200M vs Mt Kilimanjaro 5895M! At least basi revenue ya Mt Kenya ingalikuwa half of that of Mt Kilimanjaro! Niamini ulichosema!
 
In the long run mlima ni better lakini for short time meanwhile in our lifespan bandari ni bora
Mombasa si bandari kubwa kama unavyodhani kiasi ambacho hakuna nchi inayoweza kuwa nayo... ukijaribu kuangalia Tanzania pekee ina bandari zaidi ya nne zinazotumika ipasavyo,tofauti na kenya wanaotegemea bandari moja...halafu mbona ni hesabu za kawaida tu kwa mtu mwenye akili timamu,ebu fikiri una nchi ambayo ina ufukwe mreeefu zaidi afrika,then unapewa uchague kati ya bandari na mlima mlima mrefu zaidi Afrika,huwezi kuchagua bandari...labda uwe chizi!
 
Tatizo hapa ni akili tu , hata tungepewa bandari + mlima bado miaka 50 ingekuwa kama hii yaleo. Wamarekani wakipewa tanzania baada ya miaka 50 tanzania inakuwa sawa na marekani, ila sisi tukipewa ile nchi baada ya miaka 50 inarudi kuwa tanzania..

Elimu kwanza alafu tuelimike hapa tayari tumefanikiwa
True...kwahyo wakenya wametuzidi elimu?
 
Why that is?
Bandari ya Kenya ina service nchi nne.. Hiyo ni uhakika wa kodi uliopo. Anasafirisha mafuta take mwenyewe. Kwa Mlima labda aweze kuleta wageni zaidi ya laki 5... Na jua hapo hatakua na jeuri ya Bandari na beach tourism in Mombasa. In turn Tanzania tutabenefit zaidi sababu tungekua na monopoly katika beach tourism katika EAC.
 
Hizi stori inanikumbusha hadithi tulizokuwa tunaambiana darasa la Kwanza kipindi kile shule ya msingi, 'eti tembo akinywa maji alafu bahati mbaya akammeza chura na yule chura akilia tumboni basi atajipiga kwenye miti mpaka afe'

Haina ukweli mkuu. Ramani ilichorwa na Wakoloni hata kabla ya Nyerere na Kenyatta kuzaliwa.
 
In the long run mlima ni better lakini for short time meanwhile in our lifespan bandari ni bora
Sasa huwezi kuchagua bandari kwa sababu ni kitu ambacho kinatengenezeka!na wala hatuitaji kujenga bandari,ni maboresho machache tu yanayohitajika kufanywa..au we unaweza kutengeneza mlima mrefu zaidi africa????!?
Licha ya hivyo pia hivi vitu bandari na mlima si lazima huvifaidi wewe hata vizazi vijavyo

Kumbuka hata roma haikujengwa kwa siku moja watu waliona mbali kwa mlima Kilimanjaro,ebu fikiri vizuri,ondoa mawazo ya kulalamika
 
Kwani sio kweli tembo hujipiga Kwenye Mti hadi chura afe?

Back
Top Bottom