Mount Kilimanjaro or Mombasa port?

Mombasa handles 1.45m TEUS. How much do your all ports handles? Ama TEUS pia hujui?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa leta ukubwa wa mombasa port unaleta port container volume,TEUs ...TEUSπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒ
Dar es salaam port can handle 752,250 TEUs
Zanzibar port handles 62421TEUs
Tanga port handles 23351 TEUs
Mtwara port handles 10252 TEUs
Add up utapata jibu kwa nini bandari si muhimu kuzidi mlima Kilimanjaro..
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ujinga yako inakudanganya ati ukubwa wa kitu ndio its effeciency? OK, let`s do the maths. That`s why i told you Mombasa port is better than all your ports combined. All the figures you gave me only add up to 848,274 TEUS. Remember Mombasa alone is 1.45m TEUS. You are more than stupid.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] lakn bro ninyi pia c mna mlima wenu, Mt. Kenya ama? So pesa mnazoingia kutoka kwa mt kenya ziko wapi? Coz am sure The Giant Kilimanjaro inaingiza x5 ya Mt. Kenya
Kama Ml. Kilimanjaro ungekuwa Kenya nakuhakikishia kwamba mlima huo ungekuwa unaingizia Kenya hela nyingi zaidi hata ya bandari na Mombasa kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yolo is BS, consider uzao wako pia, bunch of selfish folks

Sent using Jamii Forums mobile app
You call it selfishness I call it survival...we unahisi pale mother nature anapokuja ku'pick the fittest ku'survive atawaacha baadhi weak kisa wana good 'morals' na ni selfless??
 
You are the stupid endeed..sasa rejea kwa title,then ufikirie ukipewa alternative ya kuchagua port na mt.kilimanjaro utachagua kipi,hicho ndicho tunakizungumzia hapa...

Halafu tunapozungumzia TEUs(sio TEUS unayoizungumzia wewe)..TEUs ni uwezo wa terminals za bandari kuchukua container,uwezo wa ku-handle containers..we jamaa endelea kutafuta nyungunyungu tu hivi vingine ni bigger than your brain!
 
I repeat again, Mombasa port is better than all Tanzania ports combined.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Looking forward to the day w shall have our Mountain back. ... . ... And it's not gonna be a long time to come
 
You call it selfishness I call it survival...we unahisi pale mother nature anapokuja ku'pick the fittest ku'survive atawaacha baadhi weak kisa wana good 'morals' na ni selfless??
Survival is forecasting perfect and planning how your descendants will live a better life than the one you lived

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Survival is forecasting perfect and planning how your descendants will live a better life than the one you lived

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna simba wawili porini mmoja akipata nyama anakula yote mwingine anajibana akiwatunzia cubs wake...mwishoni yule simba wa kwanza ananenepa na kushamiri na huyu wakujibana anajikondea...unahisi njaa ikija simba Yupi atakuwa wa kwanza kufa??
Survival is a dirty game but necessary
 
Evidence?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…