Usd2.4bn Vs usd1.6bn doesn't look like double to meTanzania Tourism revenues are twice as Kenyas, what are you doing with all the resources you have? You have a national park hapo Nairobi west mmefanyia nini?
Before we think of what we don’t have lets at least think of what we have, what have you done with what you have?
Elewa their education system, it's among the weakest in the world.
Ndo maana wanakufa njaa! ?
That's not true... Bandari ni bora kuliko huo mlima.
Mombasa si bandari kubwa kama unavyodhani kiasi ambacho hakuna nchi inayoweza kuwa nayo... ukijaribu kuangalia Tanzania pekee ina bandari zaidi ya nne zinazotumika ipasavyo,tofauti na kenya wanaotegemea bandari moja...halafu mbona ni hesabu za kawaida tu kwa mtu mwenye akili timamu,ebu fikiri una nchi ambayo ina ufukwe mreeefu zaidi afrika,then unapewa uchague kati ya bandari na mlima mlima mrefu zaidi Afrika,huwezi kuchagua bandari...labda uwe chizi!
That's true mkuu kwa Tanzania Mombasa haina umuhimu....ila kwa Kenya bandari kwao ni bora.Inategemea kwa Kenya bandari ni Bora kuliko mlima sababu Kenya haina bahari tena ukiitia Mombasa Ila kwa Tanzania bandari ya Mombasa haina uhimu ingekua ya ziada tu sababu Dar bandar ipo bagamoyo unaweza kujenga kubwa tu Zanzibar, Tanga, mtwara Sasa Kwa Tanzania bandar tena haina umuhimu Bora tu ilivyochukua mlima
Sent using Jamii Forums mobile app
What do you mean RIGHTFULLY? It belonged to the Sultan of Zanzibar, and last I checked Zanzibar is now a part of the Tanzanian Union.I think it was a British Queen who gave the mountain to his cousin the King of Germany as a birthday gift .....and in turn the Queen was awarded Mombasa Port which was rightfully ours.....
FACT CHECK: nchi yenye ufukwe mrefu zaidi barani Afrika ni Somalia. Tanzania haipo ata kwenye top 3.Mombasa si bandari kubwa kama unavyodhani kiasi ambacho hakuna nchi inayoweza kuwa nayo... ukijaribu kuangalia Tanzania pekee ina bandari zaidi ya nne zinazotumika ipasavyo,tofauti na kenya wanaotegemea bandari moja...halafu mbona ni hesabu za kawaida tu kwa mtu mwenye akili timamu,ebu fikiri una nchi ambayo ina ufukwe mreeefu zaidi afrika,then unapewa uchague kati ya bandari na mlima mlima mrefu zaidi Afrika,huwezi kuchagua bandari...labda uwe chizi!