Mount meru university vululu vululu

Mount meru university vululu vululu

Godfrey Tarimo

New Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Kwa kweli hali ya mmu inatishia hatima ya wahitimu wake wa miaka ijayo.uongozi hautaki kuwasikiliza wanachuo serikali ya wanachuo inakwenda kwa kufuata upepo tu
Iweje cheti kimoja kiwe na A ya71 pamoja na a ya 80,hii haija wahitokea ulimwenguni!!na ni ubabaishaji tu hata mungu hapendi uonevu huu
 
Acha kulalamika elezea kitu kinacho eleweka labda ndio maana hamsikilizwi kwakua hamuelezei kitu kinacho eleweka, examination criteria zenu zinasema A ina anzia ngapi ? wao wamefanya nini? mlipowa uliza walijibu nini etc.
 
Back
Top Bottom