Godfrey Tarimo
New Member
- Apr 12, 2012
- 1
- 0
Kwa kweli hali ya mmu inatishia hatima ya wahitimu wake wa miaka ijayo.uongozi hautaki kuwasikiliza wanachuo serikali ya wanachuo inakwenda kwa kufuata upepo tu
Iweje cheti kimoja kiwe na A ya71 pamoja na a ya 80,hii haija wahitokea ulimwenguni!!na ni ubabaishaji tu hata mungu hapendi uonevu huu
Iweje cheti kimoja kiwe na A ya71 pamoja na a ya 80,hii haija wahitokea ulimwenguni!!na ni ubabaishaji tu hata mungu hapendi uonevu huu