Mourinho apumzike ukocha

Hivi wewe kwa usajili alifanyika chini ya Ole kweli ni mafanikio kufanya comeback ya vitimu kama villareal au Atlanta ??
 
Kwenye ligi ni wa tano, na kafungwa na timu ambazo kila mara zinaifunga Roma. Jana alianza na kikosi kibovu huku akiweka bench wachezaji muhimu kwa ajili ya game ya Napoli.
Jana alidharau ile mechi gafla akapigwa za fasta fasta
 
Mnabet timu bila kuaangalia opponent kudadeki .....

Hiyo timu inaongoza league ,sio timu ya kinyonge Kama unavofikili ,Roma kala kichapo cha halali kabisa
Kuongoza ligi hakiwezi kuwa kigezo cha kulinganisha..inategemea anaongoza ligi ya wapi?

In short Mourinho ubora wake ni kama umeisha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kikosi walichonacho united ni sahihi kufurahia kumaliza nafasi ya pili europa tena wakiwa wametolewa ucl kwa kipigo kutoka timu ya Basaksehir?

Ni sahihi kufurahia comeback dhidi ya villarreal na atalanta?
 
Mourinho anasurubiwa tena huko, na Simeoni Inzaghi. Kaishakarishwa goli tatu kipindi cha kwanza tu. Ni vyema akatafuta ligi ndogo ndogo hata China huko akamalizie ukocha wake.
 
Mourinho anasurubiwa tena huko, na Simeoni Inzaghi. Kaishakarishwa goli tatu kipindi cha kwanza tu. Ni vyema akatafuta ligi ndogo ndogo hata China huko akamalizie ukocha wake.
Msiwe washabiki kupita kiasi, Mou anacheza na Inter huku akiwakosa wachezaji karibia 5 wa kikosi cha kwanza. Hata wangekuwepo, bado Inter ina ubora kulinganisha na Roma.
Baada ya wachambuzi walisema wazi kuwa, Roma inahitaji wachezaji wapya kama 6 ili iweze kushindana na akina Inter, Ac na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…