permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Roma ina nyota gani ?Barca haina nyota tena wako kwenye transitional ya barca bila Mesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roma ina nyota gani ?Barca haina nyota tena wako kwenye transitional ya barca bila Mesi
Hivi wewe kwa usajili alifanyika chini ya Ole kweli ni mafanikio kufanya comeback ya vitimu kama villareal au Atlanta ??Hao uliowataja hawakuwa na uzoefu kwenye ukocha hivyo wapewe muda watafanya makubwa tu. Ole sio kocha aliyeshindwa mkuu, msimu ulioisha Manchester United wamekuwa washindi wa pili kwenye Europa league na pia amekuwa nafasi ya pili kwenye ligi kuu uingereza. Msimu huu kafanya comeback mbili matata sana vs vilareal na vs Atalanta. Ni basi imetokea watu wa Manchester United kutomkubale Ole
Vs ligi ya FinlandLigi ya italy vs ligi ya norway
Jana alidharau ile mechi gafla akapigwa za fasta fastaKwenye ligi ni wa tano, na kafungwa na timu ambazo kila mara zinaifunga Roma. Jana alianza na kikosi kibovu huku akiweka bench wachezaji muhimu kwa ajili ya game ya Napoli.
Kuongoza ligi hakiwezi kuwa kigezo cha kulinganisha..inategemea anaongoza ligi ya wapi?Mnabet timu bila kuaangalia opponent kudadeki .....
Hiyo timu inaongoza league ,sio timu ya kinyonge Kama unavofikili ,Roma kala kichapo cha halali kabisa
Kwa kikosi walichonacho united ni sahihi kufurahia kumaliza nafasi ya pili europa tena wakiwa wametolewa ucl kwa kipigo kutoka timu ya Basaksehir?Hao uliowataja hawakuwa na uzoefu kwenye ukocha hivyo wapewe muda watafanya makubwa tu. Ole sio kocha aliyeshindwa mkuu, msimu ulioisha Manchester United wamekuwa washindi wa pili kwenye Europa league na pia amekuwa nafasi ya pili kwenye ligi kuu uingereza. Msimu huu kafanya comeback mbili matata sana vs vilareal na vs Atalanta. Ni basi imetokea watu wa Manchester United kutomkubale Ole
Ole Sendeka katika ubora wake!!
Msiwe washabiki kupita kiasi, Mou anacheza na Inter huku akiwakosa wachezaji karibia 5 wa kikosi cha kwanza. Hata wangekuwepo, bado Inter ina ubora kulinganisha na Roma.Mourinho anasurubiwa tena huko, na Simeoni Inzaghi. Kaishakarishwa goli tatu kipindi cha kwanza tu. Ni vyema akatafuta ligi ndogo ndogo hata China huko akamalizie ukocha wake.