Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

Ligi ya EPL huwa naifananisha na ligi kuu ya Vodacom Tanzania, timu zote mbovu kule
 
Huyo maurinho.atakuwa ana matatizo.. Kwan barca na madrid si huwa zinashiriki uefa.. Hapo ndo inaonekana team mbovu ni zipi kat ya za spain na huko uingereza kulikojaa promo
 
wewe muongoooo tena muongo mkubwa
ronaldo huyu kaisha hata dribbling hana kama alivyokua akimkimbiza akina ashley cole tuishie hapa tusihamishe mjadala

Kwan man utd si mlikutana madrid juzjuzi tu hapa.mkabamizwa nyumban.. Tena mlifungwa na huyohuyo cr
 


we nawe... Sasa wachezaji ukiona wametoka spain wameenda epl ni kwamba wamechokwa na hawana namba za kudumu.. Ni mara chache tu mchezaji anayewika ndo akaenda epl


ila spain ukiona tumemchukua mchezaji epl bas tumemchukua aliye bora kuliko wote huko england😕


Hata hvyo hao wachezaj wote uliowataja wametamba sana huko england.. Kwan shughuli ya costa huijui?
 
Huyo maurinho.atakuwa ana matatizo.. Kwan barca na madrid si huwa zinashiriki uefa.. Hapo ndo inaonekana team mbovu ni zipi kat ya za spain na huko uingereza kulikojaa promo

Morinyo ni ajabu lingine la dunia na huwa anafikiri kwa kutumia makalio
Ubora wa ligi upo uchi kabisa hata chizi anatambua kuwa spain ni level zingine huwezi fananisha na chandimu cha england.
 
Tunafurahia data kama hizo mkuu, sio porojo za waingereza na vibaraka wao, ooh! hull city, sijui, tottenham mkali, mkali! kwa nani? labda burnley n.k. mkuu meipenda hiyo, haya makelele ya epl nlikuwa nayafumbia macho muda mrefu sasa mechoshwa meyatolea uvivu.
 

Mkuu umemsahau Radamel Falcao
 
umeongea point sana hapa

Kuchukuwa UEFA Cl siyo kipimo maana Uefa mpaka fainali no mechi 13 sasa tunakuja kwa ligi ya uingereza tuchukulie jumamosi umecheza na Everton which is somehow big jumanne kuna uefa tuchukulie na Ajax Amsterdam jumamosi unakutana na wagonga nyundo west Ham ambao hawana ndoto za kuchukua ubigwa ila kuwa kumi bora tuuu umemalizana hapo labda jumamosi kuna FA cup na Blackburn Rovers jumanne unaenda Uefa Cl na labda Napoli


Mpaka hapo unapata picha ligi ya uingereza ni npelampela mwanzo mwenga unlike La liga ukitoa mechi za Barca real Madrid na Atletico Madrid labda umjumuishe na Sevilla ndo wana challenge ana wenyewe kwa wenyewe ukizingatia vilabu vingine havitoi big challenge eg eibar, espanyol, Villarreal pamoja na kupanda daraja bado haijawa kwa form inayotakiwa, Malaga tokea ipate financial problem imepoteana. Sasa Madrid anakutana na hawa wagonjwa wagonjwa anajigongea tisa afu unaskia hatrick kwa Ronaldo au Messi which is not the case in epl
 
umeleta sababu sizizo na vigenzo je unajua la liga bingwa kajulikana baada ya mechi 1 ya mwisho wakati epl bingwa amejulikana kabla ya mechi zaid ya 4 la pili kuhusu magoli ya kikapu juzi tu stock kampiga mtu 8 bila kusahau man city
hua anampiga mtu goli 5 au hata 6 jeee hiyo si vikapu
 
ligi ya epl ni ligi ya promo sana ila ki ubora na timu zenye ubora spain uspime kigezo ni mafanikio hususan katiak mashindano makubwa kwa mfano europa league and champions league tumeshuhudia europa league team kutoka spain ndio final na kombe kubaki spain huo ni msimu wa 2014 na huu wa 2015 ndio hivyo 2 team from spain namaanisha barca and sevila all final cup europa league and ucl la liga moto wa kuotea mbali epl matangaazo mourihno anajulikana akiwa spain ataanza kusifia la liga na madrid leo yuko chelsea wacha ajifariji hongera kwa kuchukua ubingwa
 

Vibonde kwa vibonde wakichuana!!! Mwenye nafuu akabeba kombe.
 

Mourinho ni Poyoyo kama Mapoyoyo wengine. England hizo wakikutana na team za Spain iwe ni Bilbao, Atletico,Sevilla, Valencia wanagalagazwa. Hapo sijataja Real Madrid au Barcelona. Na kuthibitisha jamaa wanajua chukua takwimu za team zilizochukua UEFA mara nyingi ni Spanish,teama tatu bora kwa utajiri mbili zote ni za Spain,Europa League mwaka huu Spain ina team moja,UEFA spain ina team moja mwaka huu na mwaka jana ilikuwa na team moja na ikachukua kombe. Huyu jamaa ni poyoyo sana!
 

kumbuka kuanzia hatua ya robo timu za Spain zilikuwa 3. Ikabidi wazipange zenyewe kwa wenyewe.
 

Hapa hoja sio UEFA ila ni EPL VS LA LIGA
 
hata huyo mourinho na chelsea yake ingekuwA spain ingwefungwA nA hatA akinA cordoba.deportivo.eibar . elche n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…