Justine77
Member
- Aug 3, 2016
- 22
- 13
Kocha mkuu wa Manchester United, Jose(_special one) amestuhumiwa na baadhi ya watu duniani wakidai kwamba amemkosea pakubwa mshindi wa kombe la dunia Schwastiger kwa kumshusha hadi kikosi cha pili akidai kuwa hayupo kwenye mipanho yake.Lakini Mourinho kasema waseme tu ni haki yao.