Mourinho ashutumiwa kumkosea adabu Bastian Schweinsteiger

Mourinho ashutumiwa kumkosea adabu Bastian Schweinsteiger

Justine77

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
22
Reaction score
13
Kocha mkuu wa Manchester United, Jose(_special one) amestuhumiwa na baadhi ya watu duniani wakidai kwamba amemkosea pakubwa mshindi wa kombe la dunia Schwastiger kwa kumshusha hadi kikosi cha pili akidai kuwa hayupo kwenye mipanho yake.Lakini Mourinho kasema waseme tu ni haki yao.
 
Back
Top Bottom