Jose Bwana"The Special One" Moja ya Makocha Walioweza kumsimamisha Kisawa-Sawa Jembe langu Sir Alex Ferguson,
Rekodi ya Ferguson kwa Jose Haivutii, Michezo 14.
Jose kashinda 6, Alex 2".
Jose naye akawa anapata Wakati Mgumu sana anapo mutizama Pep.
Kitabu cha Alex Ferguson My Autobiography 2013,Alijaribu kumuelezea Jose kwa kupewa chapter yake lakini bado alimuelezea Juujuu Ilinishangaza,
Alex Ferguson "Jose Mpinzani halisi"
Pamoja na soka lakujihami zaiidi lakini ni moja wa kocha Mwenye mbinu za Ushindi,Nilipata kuvutiwa na /Upembuzi Yakinifu Juu ya Barcelona ya Ronaldinho & Messi & Etoo dhidi ya Chelsea akiwa na Jamaa yake Mpembuzi AVB.
Kabla ya Mechi Barcelona vs Chelsea aliwachambua wachezaji Messi,Gaucho & Etoo.
Messi: "Kijana Mwepesi,Mbunifu,Kasi & Maarifa anatumia zaiidi guu la kushoto" HIVYO Asiachiwe nafsi kubwa afanyiwe Tackling nje ya box.
Gaucho: Mbunifu,Maarifa & Mnyumbulifu,Mtu hatari sana 1 vs 1, Mwepesi kujibwaga, HIVYO nikuwa Mwangalifu ktk Ukabaji,asiachiwe nafasi kubwa.
Jose kwangu mimi naona ni Mtu aliyerejesha heshima ya Real Madrid katika Ramani,Mfano UEFA Champions leagues Walisumbuka Misimu minane 2000-10 akitolewa hatua ya 16 bora mfululizo,Huku Lyon akimlamba Madrid kama Hawara.
" Hawara Hana Talaka Ukitaka Unampata"
Japo kunabaadhi ya shabiki wengi tu wa Madrid Wanamuona Kigagula.
Jose alishawahi kusema yeye huwa hagombani na Matajiri wa Club,Hivyo stashangazwa na kurejea kwake Madrid,Jose huwa anagonga mvinyo na Perez,
Naweza Nisishangazwe zaiidi na Glazzer kupiga chang'aa & Zabibu iliyochacha na Bwana Jose huko Las Vegas.
Jose A New Hegel Philosopher....