Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Najua ni mwalgeria lkn nimesema tu hivyo nikimaanisha wenzetu walio endelea.Zidane ni mzungu? Sio mwarabu? Au tuseme mfaransa mwenye asili ya Algeria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua ni mwalgeria lkn nimesema tu hivyo nikimaanisha wenzetu walio endelea.Zidane ni mzungu? Sio mwarabu? Au tuseme mfaransa mwenye asili ya Algeria?
hakuna wachezaji wazuri hata yeye yatamkutaJana nilimsikia Mourinho akisema kipindi yupo Real Madrid ndo kipindi very very special kwake
nilishangaa sana...nikawa najiuliza mbona huyu jamaa muongo muongo?
Mbona siku zote husema alipofundisha Inter Milan ndo
ilikuwa very special?
Inter ndo alishinda nao mara ya mwisho Champions League
bajeti ya inter ilikuwa ndogo sana kulinganisha na Chelsea au Ma
drid
Inter ndo timu ya mwisho kushinda Champions league kutoka Italy...
Leo nimeelewa why Morinho now anajipendekeza Madrid
kashaona kuna dalili za Zidane kutimuliwa
anachofanya ni kubembeleza tu ajira
mkuuuu habari za kishiri hapoMpuuz ni eden hazard Nshenji gete
Yule ni mwarabu mkuuKatika jambo la kipuuzi atalolijutia ni hilo.
Pale ndio niliamini sio wazungu wote wana akili.