Mourinho atarudi Real Madrid?

Shida ya club na mashabiki ni vikombe, aina ya uchezaji ni ziada tu
 
hakuna wachezaji wazuri hata yeye yatamkuta
 
Zidane aliondoka kwa heshima,sasa ataondoka kwa aibu kubwa sana na itakuwa anajuta turudi.....sasa naona zidane hana mbinu ila alikuwa anabebwa na wachezaji wakiwa ktk kiwango bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…