Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
na Drogba kamuua? Lampad, Terry, Milito, Maicon!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man U wanaitwa Manyumbu kumbe haahaavip kuhusu huyu jamaa
Memphis Depay
huyu jamaa ni fundi sana aisee the Orange's
wako sasahivi kutokana na ule utatu pale
mbele muanganiko wa huyu jamaa
Leaft wing's. Ryan Babel
Cente fourd. Memphis Depay
Right wing's. Quincy Promes
Manyumbu walimuona jamaa boya ila Saiv anakichokifanya kule ni matusi.
EPL kabeba Mara 3, UEFA kabeba 2 Laliga 1 series A 2 world cup kwa vilabu 2 FA 1 ligi ya ureno 2.Mourinho hawezi kuwa coach ni mjinga tu na mvuta bange
Hatujasema hana vikombe na sio coach mzuri. Tunazungumzia kushindwa kuvumilia mchezaji anapokuwa kaflop. Anachofanya Mou ni kumpiga bench na kutokumwamini tena.EPL kabeba Mara 3, UEFA kabeba 2 Laliga 1 series A 2 world cup kwa vilabu 2 FA 1 ligi ya ureno 2.
Kuna kocha mwingine EPL mwenye record hiyo katika age ya Mourinho?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hatujasema hana vikombe na sio coach mzuri. Tunazungumzia kushindwa kuvumilia mchezaji anapokuwa kaflop. Anachofanya Mou ni kumpiga bench na kutokumwamini tena.
Labda mimi ndio sikuelewi.Hata wewe boss wako anapokuwa hakulipi mshahara utaendelea kumfanyia kazi na kumwamini ?
Mambo ya kuvumiliana wakati unapewa nafasi ya kucheza unavurunda kwa Mourinho hayapo na ayatakuwepo. Ndio maana amefanikiwa kama kocha.Hatujasema hana vikombe na sio coach mzuri. Tunazungumzia kushindwa kuvumilia mchezaji anapokuwa kaflop. Anachofanya Mou ni kumpiga bench na kutokumwamini tena.
EPL kabeba Mara 3, UEFA kabeba 2 Laliga 1 series A 2 world cup kwa vilabu 2 FA 1 ligi ya ureno 2.
Kuna kocha mwingine EPL mwenye record hiyo katika age ya Mourinho?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Depay chini ya van gaal aliemsajili hakuwa na namba wala kufanya cha maana hivi mnaangaliaga mpira nyie kweli? Kuna mchezaji ktk kufikia kiwango lazima kuna madaraja apitie cha ajabu mnamnyooshea kidole kocha barcelona waliuza icard leo umemuona?vip kuhusu huyu jamaa
Memphis Depay
huyu jamaa ni fundi sana aisee the Orange's
wako sasahivi kutokana na ule utatu pale
mbele muanganiko wa huyu jamaa
Leaft wing's. Ryan Babel
Cente fourd. Memphis Depay
Right wing's. Quincy Promes
Manyumbu walimuona jamaa boya ila Saiv anakichokifanya kule ni matusi.
Hizi bangi enter milan alifanya nini mwaka 2009? Du wengi mpira hamjui mna mihemko ya chuki kwa kukusaidia alichukua uefa,copa italia na ligu kuu italia muache kuandika upupu.Guadiora ameshawahi kubeba treble mourinho huwa anaisikia tu kusikia TBC taifa
Halafu sikusoma jina kumbe ndo yule wa city hahahaha ndo mana hujui vitu umetia aibu hapo juu kwa heliKilaza jina la mtu acha utoto
Remembering Jose Mourinho's ridiculous treble-winning 2010 Inter Milan sideGuadiora ameshawahi kubeba treble mourinho huwa anaisikia tu kusikia TBC taifa
Mwandiko wako unaonekana kama uko darasa la tatu,may be wakati Mourinho anachukua treble ulikuwa bado hujazaliwaGuadiora ameshawahi kubeba treble mourinho huwa anaisikia tu kusikia TBC taifa
Mwandiko wako unaonekana kama uko darasa la tatu,may be wakati Mourinho anachukua treble ulikuwa bado hujazaliwa
FYIView attachment 942953View attachment 942955View attachment 942956
mechi ya nusu fainali aliifunga Barcelona ya Pep Guardiola
Huyu dogo mshabiki wa city si wa mpiraMwandiko wako unaonekana kama uko darasa la tatu,may be wakati Mourinho anachukua treble ulikuwa bado hujazaliwa
FYIView attachment 942953View attachment 942955View attachment 942956
mechi ya nusu fainali aliifunga Barcelona ya Pep Guardiola
Doctor Claims Kaka's Career Could Have Ended because of Knee Injury ...Hakuna kipindi nilipomuona Mou mchawi na nuksi kama kile kipindi alivyokuwa anamsugulisha benchi Ricardo Kaka,namchukia mpaka kesho.