Mourinho bingwa kwa kuuwa vipaji vya wachezaji.

Man U wanaitwa Manyumbu kumbe haahaa
 
EPL kabeba Mara 3, UEFA kabeba 2 Laliga 1 series A 2 world cup kwa vilabu 2 FA 1 ligi ya ureno 2.
Kuna kocha mwingine EPL mwenye record hiyo katika age ya Mourinho?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hatujasema hana vikombe na sio coach mzuri. Tunazungumzia kushindwa kuvumilia mchezaji anapokuwa kaflop. Anachofanya Mou ni kumpiga bench na kutokumwamini tena.
 
Hata wewe boss wako anapokuwa hakulipi mshahara utaendelea kumfanyia kazi na kumwamini ?
Hatujasema hana vikombe na sio coach mzuri. Tunazungumzia kushindwa kuvumilia mchezaji anapokuwa kaflop. Anachofanya Mou ni kumpiga bench na kutokumwamini tena.
 
Hatujasema hana vikombe na sio coach mzuri. Tunazungumzia kushindwa kuvumilia mchezaji anapokuwa kaflop. Anachofanya Mou ni kumpiga bench na kutokumwamini tena.
Mambo ya kuvumiliana wakati unapewa nafasi ya kucheza unavurunda kwa Mourinho hayapo na ayatakuwepo. Ndio maana amefanikiwa kama kocha.
 
Guadiora ameshawahi kubeba treble mourinho huwa anaisikia tu kusikia TBC taifa
EPL kabeba Mara 3, UEFA kabeba 2 Laliga 1 series A 2 world cup kwa vilabu 2 FA 1 ligi ya ureno 2.
Kuna kocha mwingine EPL mwenye record hiyo katika age ya Mourinho?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Depay chini ya van gaal aliemsajili hakuwa na namba wala kufanya cha maana hivi mnaangaliaga mpira nyie kweli? Kuna mchezaji ktk kufikia kiwango lazima kuna madaraja apitie cha ajabu mnamnyooshea kidole kocha barcelona waliuza icard leo umemuona?
 
Guadiora ameshawahi kubeba treble mourinho huwa anaisikia tu kusikia TBC taifa
Hizi bangi enter milan alifanya nini mwaka 2009? Du wengi mpira hamjui mna mihemko ya chuki kwa kukusaidia alichukua uefa,copa italia na ligu kuu italia muache kuandika upupu.
 
Guadiora ameshawahi kubeba treble mourinho huwa anaisikia tu kusikia TBC taifa
Mwandiko wako unaonekana kama uko darasa la tatu,may be wakati Mourinho anachukua treble ulikuwa bado hujazaliwa
FYI

mechi ya nusu fainali aliifunga Barcelona ya Pep Guardiola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…