Mourinho hana furaha united

Mourinho hana furaha united

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
42,209
Reaction score
51,004
d9407ed704de3e25e086e95b6a68e1fe.jpg
 
Hilo kombe dogo na ana hofu na mechi yao na chelsea kwenye FA cup. Inaweza kuwa 4g tena.
 
Man Utd ni timu kubwa hayo makombe yako kibao kwenye makabati hadi hilo la jana kwa taarifa niliyopata ni kwamba wameamua wakalihifadhi kwenye kabati la Arsenal ambalo linaoneka empty hadi pale OT watakapoongeza ukubwa wa makabati yao. Ukiwa na timu iliyozoea kushinda ni tofauti na timu ambayo kushinda kwa ni suala geni.
 
Back
Top Bottom