Mourinho hongera sana...

Mourinho hongera sana...

Mimi kwenye mpira sishabikii timu ila ninamshabikia Mtu mmoja anaitwa Jose Mourinho...popote alipo ndo timu yangu hyo..akifukuzwa nahama nae...Jamaa namkubali sana, akiwepo kwenye bench la ufundi ndo furaha yangu..ni mpambanaji asiyekubali kushindwa anakaza mpak mwisho...penye ushindani ndo anapapenda...ana uwezo mkubwa wa kutambua mahali penye tatizo wakat game inaendelea...yeye ni master of tactics..bingwa wa mikakati ya ushindi japo ladha ya mpira hana....kwa makocha ambao hawajastaaf yupo nyuma ya carlo Anceloti tu...
namkubali sana huyu jamaa,sometimes naamini hata ukimpeleka jeshini akawa general na apiganishe vita ni imani yangu mtashinda hio vita.
 
Gadiola wa ENGLAND ametufunga ligi...pia tukamtoa carling cup. Kuhusu mafanikio mpak sasa kw uingeleza MOU amemzidi GAD ingawa GAD n mgen wa ligi ya EPL
 
Nitajie kocha yeyte asiye mtumwa kwa Guardiola? Hata hvyo mbal na ubora wote alionao Guardiola bado hayupo kwenye top ten ya makocha bora wa mda wote but mourinho yupo...Mourinho akikaa na timu miaka miwili..guardiola huwa hachomoki (utajionea mwaka huu pia) msimu wa kwanza ndo guardiola huwa anamfunga mourinho timu inakuwa haijakaa sawa kuithibiti pressing ya Guardiola...Mkuu nilikuacha kwnye uzi wa Chealsea naona na huku umeniandama..okey
Ninachomkubali Mou ni kwamba huwa hakubali kufungwa mara mbili mfululizo.
Mfano.
1. Angalia mechi na Man City msimu ulioisha
2. Angalia mechi na Chelsea msimu ulio isha.
 
kocha bora ni Sir. Alex Ferguson pekee hao wengine ni ujanja ujanja tu na kubebwa na mastaa

mourinho ni sawa sawa na julio ni muhamasishaji sio kocha
guardiola na zidane wanabebwa na ubora wa vikosi vyao
Umeongea kifupi sana lakini huo ndio ukweli. Huwa nawaza hawa makocha bila ya Pesa za kutosha ingekuwaje. Angalia Guardiola msimu uliopita alivyo haha kuitafuta top 4. Na Angalia anavyosota.
Rafael Benitez sasa hazungumzwi kwakua anafundisha Newcastle lakini angekuwa nafundisha timu kubwa tungemsikia humu. Makocha wakubwa ni kwasababu ya wachezaji wakubwa.
Ferguson ni mfano mzuri wa aliyekuwa kocha bora angalia msimu wa mwisho kufundisha Man U alifanya nn ukiangalia kikosi chake.
 
Hakuna kocha kama babu ferg duniani,yule mzee alikuwa ni moto wa kuotea mbali
 
Ninachomkubali Mou ni kwamba huwa hakubali kufungwa mara mbili mfululizo.
Mfano.
1. Angalia mechi na Man City msimu ulioisha
2. Angalia mechi na Chelsea msimu ulio isha.
vipi akiwa Madrid hajawahi kufungwa na Guardiola mara mbili mfululizo?
au umeanza kuangalia mpira msimu uliopita?
 
Nitajie kocha yeyte asiye mtumwa kwa Guardiola? Hata hvyo mbal na ubora wote alionao Guardiola bado hayupo kwenye top ten ya makocha bora wa mda wote but mourinho yupo...Mourinho akikaa na timu miaka miwili..guardiola huwa hachomoki (utajionea mwaka huu pia) msimu wa kwanza ndo guardiola huwa anamfunga mourinho timu inakuwa haijakaa sawa kuithibiti pressing ya Guardiola...Mkuu nilikuacha kwnye uzi wa Chealsea naona na huku umeniandama..okey
wenger
 
hivi mourinho wa Chelsea 2004 na wa man u Leo wana tofauti gani!?..hakuna mwalimu mule,MTU anakomalia kukaba tu miaka 13!
Katika maisha ni kukomaa na unachokiamini hata kama wengne wanaamini huwezi...Maghufuli hana kipaji cha uongozi bali ni mzuri ktk usimamizi...hata hvyo misimamo yake mbali na kuyumbishwa na kukatishwa tamaa ndo imemfikisha hapo alipo akiwatupa mbali watu wenye vipaji vya kuongoza huku yeye akionekana kama dhahabu safi iliyosalia....ni kweli mou sio mzuri kwny kumiliki mpira, istoshe hajacheza mpira kwa mafanikio kama makocha wengne...kinachombeba anajua sana jins ya kupata matokeo ktk wakat ambapo anayahtaji sana....ndo mana wazungu wanasema "Guardiola is an innovator while Mourinho is master of strategy" Mourinho anajiamini sana (sifa ya mtu mwenye mafanikio) na sku zote yeye anapenda kupambna na yule ambaye ni bora zaidi yake ili na yeye awe bora(pagumu ndo anapopahtaji)... Guardiola alimfunga sana mou wakiwa wote spain hata hvyo mou alikomaa akitumia kila mbinu bila kukata tamaa mpak njia ilipoonekana nyeupe na Guardiola kuamua kuachia ngazi....Kwa sasa mpira ni biashara na mou ni bora ktk hilo na ndo mana kuna timu hapo zimesubir tu afukuzwe manchester zidake signature yake (ikiwemo chelsea ad Madrid)....ktka safar ya mafanikio ni marufuku kukata tamaa haijarishi unakosea mara ngap na watu wanakuchukuliaje...
 
Back
Top Bottom