Mourinho kurudi chelsea

Mourinho kurudi chelsea

It is okay,
Karibu sana England. I like himu very much for his great challenges! But Tajiri atamkubaliii?? Hiyo ndo tabu. the special One naye kazidi kuhama duh!
 
It is okay,
Karibu sana England. I like himu very much for his great challenges! But Tajiri atamkubaliii?? Hiyo ndo tabu. the special One naye kazidi kuhama duh!

Abromovich kama anataka kurudisha heshima ya team na kuwa-win back fans wa Chelsea inabidi tu amrudishe Jose, au Di Mateo au Gus Hiddink.
 
Abromovich kama anataka kurudisha heshima ya team na kuwa-win back fans wa Chelsea inabidi tu amrudishe Jose, au Di Mateo au Gus Hiddink.

Itabidi awe na moyo Mgumu lakini ndo kazi, maana hata kumleta Ben ni vile vile si alikuwa hapo na Chelse ilikuwa Juu zaidi ya Ben!
But Jose atarudisha ladha sana I hope kuliko wengine.
 
Sijaona kocha zaidi ya Mooo kurudi pale
 
Itabidi awe na moyo Mgumu lakini ndo kazi, maana hata kumleta Ben ni vile vile si alikuwa hapo na Chelse ilikuwa Juu zaidi ya Ben!
But Jose atarudisha ladha sana I hope kuliko wengine.

Wanasema jamaa bado wana mawasiliano mazuri tu, so its easy on one side lakini its hard on the other side kwa sababu Mourinho hapendi kupelekwapelekwa, hataki kufanyiwa maamuzi na huo ndio mtihani mkubwa kwa Abromovich, tajiri ambaye ana say even kwenye kununua wachezaji, remember the Shevshenko saga?
 
Wacha Chelsea nayo ishuke daraja msimu huu
Mimi si mwanachelsea lakini ushuka Daraja Chelsea "Thubutuuuu! na tema mate chini!
si leo wala kesho- mkubwa ni mkubwa tu( Sikio haliwezi zidi kichwa, ikitokea basi shida kubwa hiyo
 
tatizo la rafa anakazi mbili kuwin mashabiki na timu pinzani kweli nimeamini maneno ya shombo hayana faida zaidi ni mwiba..
 
Mimi si mwanachelsea lakini ushuka Daraja Chelsea "Thubutuuuu! na tema mate chini!
si leo wala kesho- mkubwa ni mkubwa tu( Sikio haliwezi zidi kichwa, ikitokea basi shida kubwa hiyo

kushuka daraja ni ngumu ni kutoka pale Big 4 anaweza kutoka sababu Chelsea imevurugika. Kumbuka Liverpool
 
kushuka daraja ni ngumu ni kutoka pale Big 4 anaweza kutoka sababu Chelsea imevurugika. Kumbuka Liverpool

Hiyo ni kweli Hata Arsenal naye hatihati sana kukalia Big 4 sasa. Ila kushuka daraja itakuwa uandishi wa Historia Mpya
 
ALEYN safi kwa hoja yako,lakini naomba kutofautina na wewe kidogo..kwa sababu hii ni JF.
Kwanza niseme mambo ambayo Mourinho amefanya kwenye mpira wa Ulaya hakuna kocha amewahi kufanya kwa staili hiyo:

Mambo yapo hayo?
-Amechukua ubingwa wa UEFA cup akiwa na Porto.
-Amechkua UCL, akiwa na Porto pia kumbuka aliitoa Man Utd, kwenye hatua ya 16 bora, tena pale pale kwao.
-Aliwapa ubingwa Chelsea, ambao ambao hawakuwa wameupata kwa miaka karibu 50, hii ilikuwa 2004-2005 & 2005-2006!Akiwa Chelsea aliingia nusu fainali ya Champions League.
-Akawapa Inter Milan ubingwa wa Italia, na UCL.
-Akawapa Madrid ubingwa kwa rekodi ya pekee ya points nyingi sana!
-Usisahau kwamba Mourinho ni kocha ambaye ameifunga Barcelona mara nyingi sana. Kuliko idadi ambazo Barcelona imemfunga Mourinho. Jamaa amewafunga Barcelona akiwa Chelsea, akiwa Inter Milan, na hata akiwa Madrid au hajawafunga Barca?
-Kachukua ubingwa katika ligi za nchi 4 tofauti:
Ureno
Uingereza
Italia
Hispania
Ngoja nipumue kidogo!:A S 100:
 
Sifa na Pongezi ziende kwa Official FC Barcelona Web Site - Barça | FCBarcelona.com maana hawa majamaa huwezi ukachukua kombe kirahisi kama wao wapo wanashiriki. Alivoitoa Barca akiwa na INTER basi aliona anawaweza, Mourinho akiondoka Spain ole wao Madrid maana watakuwa wanapgwa nyingi na hakuna Kombe watakalobeba pale.

Mkuu, problem ya Madrid ni vijimungu mtu, zamani alikuwepo Raul na Guti, saa hizi hawa wapuuizi wawili Cassilas na Ramos wanapimana ubavu na kocha.
Baada ya kumtimua Vicente Del Bosque, team haijawahi kua na mafanikio, Capello naye ilikua hivihivi, sasa kama wanataka kuwa wasindikizaji, let them let go of Jose.
 
Habari imepikwa ile. Na wewe uimeipika zaidi kuwa ku-spin hata heading ya habari.

Hakuna sehemu ambapo pamesemwa kuwa atarudi Chelsea.

Halafu habari yenyewe paragraphs ngapi?

Gazeti lenyewe the Sun linatafuta wanunuzi kwa habari za kutunga.
 
Nadhani nilikosea kutoweka alama ya kuuliza kwenye heading (?)

Kuhusu kupika, probably, probably not, coz ujio wa Benitez Chelsea uliwekwa hadharani first na The Sun, Balotelli kwenda AC Milan walionza kulizungumzia ni The Sun.
So unless kuwe na uthibitisho kwamba hii habari ni ya kupika.
 
Yeye aliingia kwa mbwembwe akidhani kwenda Real Madrid atajipatia ujiko kwa kuchukua vikombe kirahisi rahisi. Amegundua kwamba uwepo wa Barcelona haimpi nafasi ya kufanikisha aziima hiyo na akihama atakuwa akwepa aibu ya kuharibu heshima yake maana sasa mpaka maforward wake wanajifunga mabao
 
Wacha wanywe matapishi yao khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu, problem ya Madrid ni vijimungu mtu, zamani alikuwepo Raul na Guti, saa hizi hawa wapuuizi wawili Cassilas na Ramos wanapimana ubavu na kocha.
Baada ya kumtimua Vicente Del Bosque, team haijawahi kua na mafanikio, Capello naye ilikua hivihivi, sasa kama wanataka kuwa wasindikizaji, let them let go of Jose.

Mourinho uko juu Mkuu, pale Madrid wengi wanataka wawe wafalme ni kitu ambacho kwa Mourinho ni kigumu. Jose anapenda kuwa mtawala popote pale alipo, hata akirudi chelsea inabidi wakae chini yeye na movic
 
Back
Top Bottom