Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alipokuwa akiongea na waandishi amesema kuwa hafikirii na ni vigumu sana Bastian kupata nafasi ya kucheza msimu huu, sijasema haiwezekani , nimesema ni vigumu sana.
Kama tatizo lolote litatokea au nafasi, nina vijana katika Academy, nitafurahi kuwapa nafasi ya wao kuendelea.