Mourinho: Ronaldo hakuwa na msaada fainali ya Euro

Mourinho: Ronaldo hakuwa na msaada fainali ya Euro

Cristiano Ronaldo’s Portugal teammates have hailed his pep talks as the catalyst behind their 1-0 victory over France in Sunday’s
European Championship final.
The Real Madrid forward and national team captain was stretchered off the Stade de France field in the 25th minute after suffering an early knee injury.
Despite leaving the pitch in tears, Ronaldo returned to the touchline after half-time and barked directions at his teammates for the remainder of the match.
After Eder’s strike sealed victory for Portugal in extra-time, Cedric Soares, the Southampton full-back, revealed how Ronaldo had inspired the win.
"He gave us a lot of confidence and he said, 'Listen people, I'm sure we will win this Euro so stay together and fight for it'.
"It was unbelievable,” Soares added. “All the team had a fantastic attitude and showed that when you fight as one you are much, much stronger.
www.independent.co.uk/.../cristiano-

Mkuu
Sasa wachezaji walo cheza wenyewe wana sema jamaa alikuwa bonge ya msaada hasa nyie mlo kuwa nyumbani kwenu mnabisha nn!!?

Ronaldo hakuwa na haki ya kushangilia!!?
Maana sja kuelewa hapo

Na mie uwa nashangaa watu wana leta kelele za mourinho wana zifanya kama facts wakati wana jua kabsaa mou aliwahi hata kusema hazard ni bora kuliko CR7

Ni sawa utegemee malinzi asifiwe na manji (haiji tokea)
achana nao mahater!
 
Mou na Cr7.chemistry haziendani hata kidogo ukigundua hilo unaweza kupredict atakachosema kuhusu Cr7.

Kumbuka kuwa mou ni mportugal mwenzake, so watu walitarajia atamsifia kwakuwa ni taifa moja, lkn haikuwa hivyo,matokeo yake mou akaamua kuweka uongo pembeni na kuzungumza ukweli hslisi kwamba Ronaldo si chochote, hakuwa na msaada wowote fainali ya euro.

Cha-kushangaza kuna vichwa ngumu humu jf wanalazimisha kitu kic chowezekana utafikiri ni wataalamu wa soka kumzidi mou!

Okay huyohuyo MOU Kwanini awakubali "Messi na Maradona"ndiyo best players of all time? Jiulizeni nyie mnaomshobokea huyo misifa kwanini wafalme hawa wawili mou anawakubali ilihali yeye ni mpotugo na akina Messi ni waajentina?
 
Mourinho alipokuwa Madrid alikuwa anampa Ronaldo kila aina ya sifa, alipotoka Madrid hachoki kumdiss kwa kila afanyalo, uzuri wa Ronaldo huwa hajibizani naye, anamjibu uwanjani. Alisema Hazard ni zaidi ya Ronaldo alipokuwa Chelsea, walipokutana kwenye mechi Madrid vs Chelsea Ronaldo akatia goli 2, huku Hazard akiflop vibaya

Alikuwa anampa sifa tu kwa kumuonea aibu,lkn after that akaamua kusema ukweli,in-short MOU kimoyoni anamtambua Messi ndie baba soka ulimwenguni kuwahi kutokea since mpira uanze kuchezwa. Na hata mafanz wake Akina SZCZESNY na wengineo wengi tu wanalitambua hilo isipokuwa wanamchukia tu kwa sababu anajua mpira na hakuna kingine.
 
Sasa mtu aliumia mlitaka afanyaje!!?

Au mlitaka akose penalt kama Messi ndio mseme alikuwa na msaada

Mfalme na huyo mmorocco wapi na wapi? Ni kama vile gari aina ya Mecerdes benz na kIA ipi bora😀 utajibu nini?
 
Kumbuka kuwa mou ni mportugal mwenzake, so watu walitarajia atamsifia kwakuwa ni taifa moja, lkn haikuwa hivyo,matokeo yake mou akaamua kuweka uongo pembeni na kuzungumza ukweli hslisi kwamba Ronaldo si chochote, hakuwa na msaada wowote fainali ya euro.

Cha-kushangaza kuna vichwa ngumu humu jf wanalazimisha kitu kic chowezekana utafikiri ni wataalamu wa soka kumzidi mou!

Okay huyohuyo MOU Kwanini awakubali "Messi na Maradona"ndiyo best players of all time? Jiulizeni nyie mnaomshobokea huyo misifa kwanini wafalme hawa wawili mou anawakubali ilihali yeye ni mpotugo na akina Messi ni waajentina?
Hahaha
Mimi nawasikiliza wachezaji wenyewe ambao wana sema Ronaldo aliwasaidia

Wewe na mou wote ni mahaters wa Cr7,kwa hiyo maneno yenu si facts ni mipasho tuu
 
Alikuwa anampa sifa tu kwa kumuonea aibu,lkn after that akaamua kusema ukweli,in-short MOU kimoyoni anamtambua Messi ndie baba soka ulimwenguni kuwahi kutokea since mpira uanze kuchezwa. Na hata mafanz wake Akina SZCZESNY na wengineo wengi tu wanalitambua hilo isipokuwa wanamchukia tu kwa sababu anajua mpira na hakuna kingine.
Si kwa aibu Mou na Ronaldo waligombana na hauta kuja skia Mou akimsifia Ronaldo labda kumlaumu tuu
Ni sawa na kumskia Ramos akimsifia Mou, hiyo haoji tokea mkuu
 
Back
Top Bottom