NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
New York Times wamtambua, 'miradiayo' je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mirard ayo ni gani tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]New York Times wamtambua, 'miradiayo' je?
View attachment 868150
Hiyo hesabu haina mantiki kabisa, hata ki"mechanics inagoma ikizingatia masuala ya initial energy.Safi sana, nimeona wakifanya mahesabu ya muda aliyokuwa akitumia Kipchoge kwa kila mita 100 ili aweze kukimbia kilomita 42 kwa masaa 2 dakika 1 na sekunde 39! Hata Bolt atabaki mdomo wazi.
Sio mimi nimesema mkuu, wachanganuzi ndio wanafatilia haya masuala yote. Ukumbuke marathon ni kilomita 42 kwa hivyo sidhani ni jambo la kawaida kwa mtu kama Kipchoge kukimbia kwenye mita 100 kwa muda mfupi zaidi ya ule wa Usain Bolt. Maoni yangu tu.Hiyo hesabu haina mantiki kabisa, hata ki"mechanics inagoma ikizingatia masuala ya initial energy.
Mtu hata wewe saizi kama uko fit kimbia 1km halafu gawanya uone kwa kila 100m umetumia dakika ngapi, utakuta umemshinda Bolt vilevile, japo mkipanga naye muanze sawa kwa 100m tu hauchomoki.
Ninachomaanisha 100m ni fupi sana na zinaisha wakati mwili ukiwa bado haujafikia ile highest velocity, tofauti na mtu wa 1km au zaidi yeye ataifikia ile speed ya juu kabisa anayoiweza.
Hata watu wa physics wataelewa, mechanics, na street racers
Sio mimi nimesema mkuu, wachanganuzi ndio wanafatilia haya masuala yote. Ukumbuke marathon ni kilomita 42 kwa hivyo sidhani ni jambo la kawaida kwa mtu kama Kipchoge kukimbia kwenye mita 100 kwa muda mfupi zaidi ya ule wa Usain Bolt. Maoni yangu tu.
Hujaelewa chochote, walikuwa wana'record' muda aliyokuwa akitumia Kipchoge kwenye mita 100 za kwanza, za pili hadi kilomita ya kwanza, na ya pili kuendelea hivyo, hatua kwa hatua. Sio eti walingoja amalize mbio kisha wakafanya mahesabu ya kilomita alizotumia kwa muda aliyotumia. Umeelewa? Haina presha, mahesabu hayo kawaida huwa yanafanywa na wanaopenda riadha na takwimu zake, sio IAAF kwahivyo sio takwimu rasmi na hakuna tuzo zozote ambazo huwa zinapeanwa.Hii hesabu haipo,pengine aliyepiga hajui hesabu kabisa.
Kwamba metre 100 za bolt zitumia muda mrefu zaidi ya metre 100 za kipchoge!!!how???hata ukiangalia namna wanavyokimbia utaona ujinga wa huyu mtafiti.
Hujaelewa chochote, walikuwa wana'record' muda aliyokuwa akitumia Kipchoge kwenye mita 100 za kwanza, za pili hadi kilomita ya kwanza, na ya pili kuendelea hivyo, hatua kwa hatua. Sio eti walingoja amalize mbio kisha wakafanya mahesabu ya kilomita alizotumia kwa muda aliyotumia. Umeelewa? Haina presha, mahesabu hayo kawaida huwa yanafanywa na wanaopenda riadha na takwimu zake, sio IAAF kwahivyo sio takwimu rasmi na hakuna tuzo zozote ambazo huwa zinapeanwa.
Hapo tunakubaliana, ni tofauti sana. Kuna kilomita moja ambayo Kipchoge alikimbia kwa dakika 2 sekunde 47. Tafakari hayo.Hiki kitu unachozungumzia hapa hakipo mzee.
Labda hujui bolt huwa anakimbiaje.huo utafiti umefanywa na wataalamu wa wapi mzee!!!!mbio ndefu ni tofauti na fupi.