Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Ngekewa unazo mwenyewe unayemuwaza Chenge muda wote huna jipya!!!Katiba inayopendekezwa haizuiliki.

View attachment 241930
ni kweli katiba ya FISADI CHENGE and Co. HAIUZIKI ndo mana hata kuipigia kura imeshindikana.
tena kwa taarifa yako imeshapigwa KIBUTI HAINA MPANGO. ni sawa na zile karatasi mnazotumia MSALANI. CHUKUENI PELEKENI MSALANI MKATUMIE KU....MBIA
 
ni kweli katiba ya FISADI CHENGE and Co. HAIUZIKI ndo mana hata kuipigia kura imeshindikana.
tena kwa taarifa yako imeshapigwa KIBUTI HAINA MPANGO. ni sawa na zile karatasi mnazotumia MSALANI. CHUKUENI PELEKENI MSALANI MKATUMIE KU....MBIA

Umeishiwa hoja hii ni YESSSSS mwanzo mwisho. Utasubiri sana ianguke lakini hutoiona ikianguka ng'oooooo!!
 
nadhani kuna sehem fulani katika vituo vyako vya mwilini kina upungufu ndo mana unawashwawashwa

Mwalla mzee wa kuvuruga umeamka? kama kawida yako umeanza na maneno yasiyo na msingi wala tija kwa jamii. Kua wewe.
 
Dawa ya wasanii ni kipiga chini hii katiba pendeka kwa kuipa kuraya ''hapana''
Mwalla bado upo na ufupi wako vilevile. Wewe huwa unaibuka tu kama magonjwa ya mlipuko, kipindupindu, ebola na ukosefu wa hekima. Haya naona ndo umetoka usingizini kwa kuamshwa. Haya rudi kalale ili muda wa kuamka ukifika uamke upige mswaki maana kinywa chako kinatoa harufu isiyofaa.

Pole Mwallaaaa!
 
Mzee usie na hoja zaidi ya matuc!! hahahah
Hivi Mwalla huwa analewa kila wakati au ndo maumbile yake kwamba baadhi ya chromosomes zilipungua na ukienda kwenye medulla obulangata na ubongo wa kati navyo havina ushirikiano. Kama yuko hivyo inabidi awaone watumishi wa Mungu wamfanyie maombi.

Naomba umfikishie ujumbe huu Hon. Mwalla.
 
tatizo nyie watoto hamjitambui. JIFANYENI MAJUHA lkn soon mtanyweshwa dozi na mtajitambua na kuungana na waliojitambua.
 


Acha kulalama wewe ndo tatizo,niambie akili yako inawaza nini hapa
 
tatizo nyie watoto hamjitambui. JIFANYENI MAJUHA lkn soon mtanyweshwa dozi na mtajitambua na kuungana na waliojitambua.

Mwalla hiyo dozi yako kamyweshe mkeo na watoto wako sie tunajitambua ndio maana hatushabikii ujinga.
 
Mwalla hiyo dozi yako kamyweshe mkeo na watoto wako sie tunajitambua ndio maana hatushabikii ujinga.

utajitambua tu hata kwa bakora mpaka ujitambue. tulia dozeee ikuingie vizuri. kelele zako zinakata dozi inayokuingia.
 
Wakati huu si wakati wa kulalamika jama,tumeshapiga hatua kubwa katika kuondoa changamoto mbalimbali zilizobainishwa na sisi wananchi,kupitia katiba inayopendekezwa tumeweza kujenga tanzania mpya,kazi kwetu kuhakiksha kuwa tunajiandaa vzr kujiandikisha kwa ajili ya kura ya maoni wakati ukifika,tatizo ni watu wachache wanaotaka kuhodhi mchakato huu kwa kuwapotosha wananchi,natambua kuwa watanzania wa leo hawadanganyiki kwa siasa na praganda zinazofanywa na watu wachache wasio na nia njema na taifa hili,binafsi nawatilia shaka watu hawa kama ni watanzania au ni raia wa kigeni,nchi hii imefika hapa ilipo kwa sababu ya uzalendo,amani,utulivu na mshikamano uliopo tangu kuasisiwa na taifa hili na viongozi wetu wa kwanza.

kwa sasa jambo la muhimu ni kuhakikisha kuwa tunaisoma katiba inayopendekezwa vzr ili tuielewe na mwisho tufanye uamuzi sahihi utakaowaaibisha wale wanaofanya propaganda za upotoshaji, tanzania kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…