Mwanakijiji kutokuwa tayari kwa serilikali kujadiliwa bungeni. Mikatba mbalimbali inayoingia na makampuni mbalimbali,katika sekta ya ,madini,umeme, na kadhalika..ni dalili tosha ya kwamba we have a voted into power a"CORRUPT GOVERNMENT" na hizi ni symptoms za any corrupt govt, duniani..kuficha mambo yake kwa wananchi.
Kupitia kwa wa wakilishi wake ambao ni wabunge, kutokuwa na fursa ya kuihoji, wala kuiwajibisha according to sheria za nchi. lakini nadhani wananchi na hasa vijijini elimu ya kupiga kura yenye manufaa kwa wananchi ni muhimu. nazungumzia corruptness ya elections zetu tanzania..TAKRIMA and all. na ili tufanikiwe kwa mawazo yangu mambo yafuatayo ni lazima yazingatiwe katika chaguzi zetu.
(1)-MWANANCHI ASICHAGULIWE ZAIDI YA TERMS MBILI, KUWA MBUNGE.
(2)-UMRI WA WANANCHI WANAO CHAGULIWA KUINGIA BUNGENI,USIWE CHINI YA MIAKA 30 NA USIZIDI MIAKA 65.
(3)KUSIWEPO NA WANANCHI WA FAMILIA MOJA NDANI YA BUNGE ZAIDI YA MMOJA.AMBAO KUWEPO KWAO BUNGENI SI KWA KUPIGIWA KURA NA WANANCHI KATIKA MAJIMBO YA UCHAGUZI.kf MTU NA MKEWE,AU MUMEWE. BABA NA MTOTO AU MAMA NA MTOTO. naisema kwa sababu,zimeanza kuonekana dalili za wazi wazi za wana siasa kurithisha wake zao, watoto na ndugu zao.nyadhifa ktk mihimili ya nchi likiwepo bunge letu.
(4)-BUNGE LIPEWE UWEZO KIKATIBA KUZIWAJIBISHA SERIKALI ZINAZO KUWEPO MADARAKANI.IKIWEMO VIONGOZI WAKUU WA SERIKALI.."RAIS NA WAZIRI MKUU" WAKE.
(5)-serikali inayo wajibika kwa wananchi,kupitia bunge lenye uwezo wa kikatiba kuiwajibisha serikali ndio kitu ambacho hakipo katika bunge letu.ndio maana tume za kina harrison mwakyembe pamoja na uzalendo wa hali ya juu katika kubainisha maovu ya viongozi 'BAADHI' yao.bado utekelezaji wa maazimio ya tume hiyo yame kuwa ya kisanii zaidi. hakuna transparency,political accountability,kwa viongozi walio tajwa,tajwa kuona umuhimu wa kujisafisha kwa kujiuzulu nyadhifa zao serikalini.
MIKATABA YA MEREMETA,BUZWAGI,UPANDE WA MADINI NA ULE WA RICHMOND NI KANSA KUBWA NDANI YA SERIKALI YETU. "ni jinsi ipi wataitibu kansa hii "ni kutokana na level ipi viongozi wetu wame shiriki ktk mikataba husika.na hii kwa mdadisi wa mambo ya kisiasa ana weza kuihusisha na jinsi EPA inavyo shughulikiwa. Angalau kuna watu ambao wamehusika na makampuni yaliyo chota pesa za EPA wapo mbele ya pilato. HII YA MIKATABA KUNA SHINDIKANA NINI???