Tetesi: Movements restrictions na curfew kuanza rasmi tarehe 01/12/2025

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Huu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari.

Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani?

Kama hakuna,; je, ni kwanini.

Nimetabiri ila muda ndio msema kweli.
 
IKiwa hivyo 'wasakatonge' tutakiona cha mtema kuni. Japo hili nalo liangaliwe kwa jicho la tatu maana yamkini 'wasakatonge' tukachukua uamuzi kama wa wakoma.
2 Wafalme 7:3-4
[3]Basi walikuwapo watu wanne wenye ukoma, penye lango la mji; wakasemezana, Mbona tunakaa hapa hata tufe?

[4]Tukisema, Tutaingia mjini, mjini mna njaa, nasi tutakufa humo; nasi tukikaa hapa, tutakufa vile vile. Haya! Twende tukaliendee jeshi la Washami; wakituhifadhi hai tutaishi; wakituua, tutakufa tu.
 
Yaani hata wakiwrxa kuyazuia maandamano ya D9, hawataweza kuirndesha nchi hui kwa style hii forever....ni suala la muda tu watatema bungo
 
IKiwa hivyo 'wasakatonge' tutakiona cha mtema kuni. Japo hili nalo liangaliwe kwa jicho la tatu maana yamkini 'wasakatonge' tukachukua uamuzi kama wa wakoma.
2 Wafalme 7:3-4
[3]Basi walikuwapo watu wanne wenye ukoma, penye lango la mji; wakasemezana, Mbona tunakaa hapa hata tufe?

[4]Tukisema, Tutaingia mjini, mjini mna njaa, nasi tutakufa humo; nasi tukikaa hapa, tutakufa vile vile. Haya! Twende tukaliendee jeshi la Washami; wakituhifadhi hai tutaishi; wakituua, tutakufa tu.
Hii ni kweli, ni ujinga kufungiwa watu ndani ,wakati over 90 percentage ya watz ni day worker ,walinde amani at the same time shughuli zetu ziendelee wata us uchumi na watu Kwa style za lockdown na kuongeza vibaka sasa kama siamdamani nisifungue genge langu nifike njaa ndani matokea yake watayaona wakileta mambo yakufungiana
 
Ubalozi USA umesema muda wowote kinanuka,so kukiwa na lock down kuanzia siku hiyo siyo mbaya,ila itakua dar, Arusha, Kilimanjaro
Ujinga tu ,mtaua watu Kwa njaa na njaa ikizidi amani ndio itapotea kabisa hamta irudisha ,deal na waharifu watakao Fanya fujo na kazi ziendelee kama Kawa,ila mkija jifanya fungia watu hata wasipo taka maandamano watatoka kuvunja maduka na nyumba za watu sababu ya njaa.
 
Pawe na vurugu mjini na daladala ziendelee kama kawaida,utadhibiti vipi?
 
Huu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari.

Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani?

Kama hakuna,; je, ni kwanini.

Nimetabiri ila muda ndio msema kweli.
Na wewe Umeanza Upuuzi
 
Watakuwa wamejifunga kitanzi wenyewe. Wajaribu waone
 
Mkazi wa hali ya chini jijini Dar-es-salaam hawezi kukaa ndani zaidi ya siku 3. Hali ya uchumi wa mwananchi wa kipato cha chini (aka TOKA ULE) hairuhusu kukaa ndani kwa kipindi chote hicho.

Mbaya zaidi Dar haizalishi chakula, 99% ya chakula unachokila katika jiji la DAR huwa kinatoka mikoani, iwe ni nafaka,mbogamboga,maziwa au nyama.

Hivyo itamlazimu mwananchi hats kam ana pesa kiasi gani lazima atoke kwenda kutafuta chakula. Watu wa pato la chini hawana uwezo wa kumudu kurundika akiba kubwa ya chakula kwa masiku yote hayo. Na jaribio lolote la kuwafungia wananchi zaidi ya siku 3-5 jua linaweza kuamsha hasira nyingine zinazotokana na NJAA
 
Ujinga tu ,mtaua watu Kwa njaa na njaa ikizidi amani ndio itapotea kabisa hamta irudisha ,deal na waharifu watakao Fanya fujo na kazi ziendelee kama Kawa,ila mkija jifanya fungia watu hata wasipo taka maandamano watatoka kuvunja maduka na nyumba za watu sababu ya njaa.
exactly kuna wafanya biashara za nafaka walivunjiwa maduka yao na wananchi kutokana na NJAA....mtu hawezi kukubali kuona watoto wake wanakufa ilihali wewe una stoo ina gunia 100 za mchele na unga wa Sembe na maharage....Lazima aje kuchukua kwa hali yoyote ile.

NJAA NI MBAYA
 
Huu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari.

Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani?

Kama hakuna,; je, ni kwanini.

Nimetabiri ila muda ndio msema kweli.
Kwasasa Taifa la Tanganyika liko kwenye auto mode
 
Back
Top Bottom