Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Yaani hata wakiwrxa kuyazuia maandamano ya D9, hawataweza kuirndesha nchi hui kwa style hii forever....ni suala la muda tu watatema bungoHuu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari.
Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani?
Kama hakuna,; je, ni kwanini.
Nimetabiri ila muda ndio msema kweli.
Hii ni kweli, ni ujinga kufungiwa watu ndani ,wakati over 90 percentage ya watz ni day worker ,walinde amani at the same time shughuli zetu ziendelee wata us uchumi na watu Kwa style za lockdown na kuongeza vibaka sasa kama siamdamani nisifungue genge langu nifike njaa ndani matokea yake watayaona wakileta mambo yakufungianaIKiwa hivyo 'wasakatonge' tutakiona cha mtema kuni. Japo hili nalo liangaliwe kwa jicho la tatu maana yamkini 'wasakatonge' tukachukua uamuzi kama wa wakoma.
2 Wafalme 7:3-4
[3]Basi walikuwapo watu wanne wenye ukoma, penye lango la mji; wakasemezana, Mbona tunakaa hapa hata tufe?
[4]Tukisema, Tutaingia mjini, mjini mna njaa, nasi tutakufa humo; nasi tukikaa hapa, tutakufa vile vile. Haya! Twende tukaliendee jeshi la Washami; wakituhifadhi hai tutaishi; wakituua, tutakufa tu.
Ujinga tu ,mtaua watu Kwa njaa na njaa ikizidi amani ndio itapotea kabisa hamta irudisha ,deal na waharifu watakao Fanya fujo na kazi ziendelee kama Kawa,ila mkija jifanya fungia watu hata wasipo taka maandamano watatoka kuvunja maduka na nyumba za watu sababu ya njaa.Ubalozi USA umesema muda wowote kinanuka,so kukiwa na lock down kuanzia siku hiyo siyo mbaya,ila itakua dar, Arusha, Kilimanjaro
Pawe na vurugu mjini na daladala ziendelee kama kawaida,utadhibiti vipi?Ujinga tu ,mtaua watu Kwa njaa na njaa ikizidi amani ndio itapotea kabisa hamta irudisha ,deal na waharifu watakao Fanya fujo na kazi ziendelee kama Kawa,ila mkija jifanya fungia watu hata wasipo taka maandamano watatoka kuvunja maduka na nyumba za watu sababu ya njaa.
nan anaanzisha vurugu ?Pawe na vurugu mjini na daladala ziendelee kama kawaida,utadhibiti vipi?
Na wewe Umeanza UpuuziHuu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari.
Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani?
Kama hakuna,; je, ni kwanini.
Nimetabiri ila muda ndio msema kweli.
exactly kuna wafanya biashara za nafaka walivunjiwa maduka yao na wananchi kutokana na NJAA....mtu hawezi kukubali kuona watoto wake wanakufa ilihali wewe una stoo ina gunia 100 za mchele na unga wa Sembe na maharage....Lazima aje kuchukua kwa hali yoyote ile.Ujinga tu ,mtaua watu Kwa njaa na njaa ikizidi amani ndio itapotea kabisa hamta irudisha ,deal na waharifu watakao Fanya fujo na kazi ziendelee kama Kawa,ila mkija jifanya fungia watu hata wasipo taka maandamano watatoka kuvunja maduka na nyumba za watu sababu ya njaa.
Sawa..Ubalozi USA umesema muda wowote kinanuka
Green guards Uvccm wakiwa wamevaa km polisi..nan anaanzisha vurugu ?
Kwasasa Taifa la Tanganyika liko kwenye auto modeHuu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari.
Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini kupitia Wizata ya Afya juu ya siku hii muhimu duniani?
Kama hakuna,; je, ni kwanini.
Nimetabiri ila muda ndio msema kweli.