Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Hapo ndo ujue ukweli unauma!mwanzoni sikujua kwa nini,ilanilipoiona nika 1+1 nikapata jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo ujue ukweli unauma!mwanzoni sikujua kwa nini,ilanilipoiona nika 1+1 nikapata jibu
Darwin's Nightmarejamani mwenye nayo anizawadie, anipe au aniuzie
Darwin's Nightmare,inawezekana ushawahi kuiangalia au hujawahi but kama hujawahi kuiangalia nakushauri uiangalie, this is real life about mwanza ,but sijui kuwa mpaka sasa hivi hili life bado lipo mwanza au vipi.
Serikali ilipiga kelele eti ni uongo, wakati haya mambo ni kweli kabisa.