Movie: Kanumba na Arnold Schwarzenegger

Mhhh, we mwenzetu ni mnini? Maana inaonekana si mmbongo


taja movie aliocheza Kanumba ambayo unaona ina ubora sawa na Tsotsi...
wacheni umbumbumbu huo, Kanumba was nothing, but alikuta kundi la wakurupukaji na ndio mana akapaishwa
 
Hivi kuna watu huwa wanakaa kabisa kitako na kuanza kuangalia Bongo movies sijui...

Yaani hayo madude ni ujinga mtupu kuanzia kwenye script, production na hata editing...

Ndio maana wanaosema huwa yanatengenezwa kwa ajili ya beki tatu kuzugia mabosi wakiwa kazini hawajakosea...
 
taja movie aliocheza Kanumba ambayo unaona ina ubora sawa na Tsotsi...
wacheni umbumbumbu huo, Kanumba was nothing, but alikuta kundi la wakurupukaji na ndio mana akapaishwa

Wewe umetoka wapi wewe? Tsotsi imeigizwa na nani? Ya nchi gani?kwanini umekimbilia kuilinganisha na mada hii? Kwani sisi tunazungumzia kulinganisha movies hapa?
Hivi unajua hapa watu tunazungmzia nini hapa?

Wewe ndio mbumbumbu mkubwa! Na pia wewe ndio mkurupukaji namba moja!
Shwaini wee!
 

Mkuu, you know what you are talking about!
 
Hahaha sasa director mwenyewe' boom mike mwenyewe, actor mwenyewe, editor mwenyewe, production mwenyewe, distr mwenyewe., kamera man mwenyewe., ubahiri wa kuweka manpower na kujenga team vitu vyote unataka ufanye mwenyewe kutakua na muvi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…