Ki ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe
Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram