Movie Mpya ya Idris Sultan yaondolewa Netflix

Mungu akusaidie uzidi kuyapenda saaanah

Ila me nakutell bora hata hiyo Slay kuliko You again coz story haiko poah saanah
Inawezekana slay ikawa nzuri zaidi ya you again

Lakini kwa sasa you again ni nzuri kwangu,kwasababu sijaona slay
 
Mshawah kushare Mke? Manake una wivu na jamaa
 
Hatukusema mwanzoni wapi ? Movie imetoka hata wiki haina sasa tungesema wakat hatujaona kazi yenyew?
Wewe ulijuaje kuwa ilisifiwa sana social media?
Sababu Movie iliinianza Kuwa streamed Netflix tarehe 26/04.

Na kuna sehemu umesema imetolewa kwasababu aina kiwango.
Inamaana iliingizwa huko kabla wenyewe hawajaicheki kama inafaa ama lah?
 
Honestly huwa nasikia sana Netflix, mpaka majuzi nasikia JK amempongeza Idris kuingia huko Netflix.

Hivi hii Netflix ni nini?
 
Hivi mtu unaanzaje kudiss hustle ya mtu alie onyesha juhudi kubwa kufanya jambo??..

Hivi unajua tabia kama yako ndo ilifanya kuwe na wachawi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
Hivi mtu unaanzaje kudiss hustle ya mtu alie onyesha juhudi kubwa kufanya jambo??..

Hivi unajua tabia kama yako ndo ilifanya kuwe na wachawi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Itolee ufafanuzi hii
 
Papaa taratibu,hii muvi imesifiwa na Kikwete,Surely hata kama haina viwango vya hollywood,lakini ipo juu ya bongo muvi,
Usiponde sana,jamaa amejitahidi,mwanzo ni mgumu tutafika lakini
 
JK Kikwete asi afute ili twita ya kumpongeza kuonekana netflix
 
Huyu lazima mnafahamiana binafsi.
 
Kama ingekuwa hivyo kama unavyotaka je ungeisifia?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…