Movie na Macelebrity ambao sidhani Kama watakuja kutokea Tena!

Movie na Macelebrity ambao sidhani Kama watakuja kutokea Tena!

-Double J
(Jey plus)
-Comando yosso.(yeye kama yeye)
-Sabrina. (monalisa)
N.k
Itafute na hii CHAUSIKU

1601124484650.png
 
Movie ni moja ya burudani na umaarufu wa movie hupelekea umaarufu wa ma celebrity pia.

Hizi ni baadhi ya movies ambazo nadhani pengine mimi au watu wengine wanazifahamu na hazitowahi kutokea tena.

Sijazipanga kimtiririko ni namba tu.

1.Spiderman 1,2 And 3.(Tobey Maguire)
Acted as Peter Parker

2.First Blood(Slyvester Stallone)
Acted as John Rambo.

3.Kuch Kuch Hota Hai(Sharukh Khan)
Acted as Rahul

4.3 Idiots(Amir Khan)
Acted as Ranchos Chanchad

5.The One(Jet Li)

6.Drunken Master(Jackie Chan)

7.Enter The Dragon(Bruce Lee)

8.Kirikou

9.Ben 10.

10.Commando(Anorld Schweznegger)

Taja zako na useme ulichozipendea

Aah umenikumbusha hiyo The One ya Jet Lee ni hatari sana hii kitu. Kuna mkono wa kiwango cha bombadier

Huyu jamaa (Jet Lee) ni kama alikua underrated kimtindo ila alikua ana movie kali sana those days.

Tai chi, The bodyguard from Beijing, The one, My father is hero, Romeo must be die etc
 
The diary of a mad black woman(hellen) the best movie of all times
 
Naona mnashindana kutaja movies za zamani.

Sidhani kama itakuja kutokea movie kama:
Kwa Miaka ya after 2010
AVENGERS: END GAME
CAPTAIN AMERICA: WINTER SOLDIER
BATMAN: DARKNIGHT RISE
Mission Impossible (karibia zote kuanzia Ghost Protocol MI4)
Fast n Furious 7 (The Last Ride w/ Paul Walker)
Indian Movies Je Mzee
3 Idiots
Kuch Kuch Hota Hai
 
Aah umenikumbusha hiyo The One ya Jet Lee ni hatari sana hii kitu. Kuna mkono wa kiwango cha bombadier

Huyu jamaa (Jet Lee) ni kama alikua underrated kimtindo ila alikua ana movie kali sana those days.

Tai chi, The bodyguard from Beijing, The one, My father is hero, Romeo must be die etc
Mimi nilianza kumwelewa kwenye the bodyguard, halafu na ile black mask. Jamaa alikuwa anatoa mkongoto wa haja hatari tupu. Ila mimi napenda yule jamaa wa Hong Bak 2 na thai martial arts. Yani kila pigo lina energy yani hatari tupu weka mbali
 
1. Michael Jackson,
2. Mr. Bean,
3. Whitney Houston,
4. Rambo,
5. Culture Me.
 
Gods must be crazy part 1 /3
Crazy safari.
Yankee Zulu.(Leon Schuster)
Mr bones 1&2(Leon Schuster)
Neria
Deadly voyage(Omar epps)
Drunken master (Jackie chan)
Girlfriend (bongo movie)
Appocalypto

Sema mleta mada apo kwa huyo " spaida Mani" mtoe
 
Back
Top Bottom