Movie na Macelebrity ambao sidhani Kama watakuja kutokea Tena!

Movie na Macelebrity ambao sidhani Kama watakuja kutokea Tena!

Pirates of Caribbean
Lord of the rings
Indiana jones
 
Final destination 1-5
Indiana Jones 1-3
Pearl Harbor
Johnny English 1-3
Rush hour 1-3
Saving Private Ryan
Enemy at the gate
etc
 
The Godfathers
The Book of Elli
Magnificent 7
 
Movie ni moja ya burudani na umaarufu wa movie hupelekea umaarufu wa ma celebrity pia.

Hizi ni baadhi ya movies ambazo nadhani pengine mimi au watu wengine wanazifahamu na hazitowahi kutokea tena.

Sijazipanga kimtiririko ni namba tu.

1.Spiderman 1,2 And 3.(Tobey Maguire)
Acted as Peter Parker

2.First Blood(Slyvester Stallone)
Acted as John Rambo.

3.Kuch Kuch Hota Hai(Sharukh Khan)
Acted as Rahul

4.3 Idiots(Amir Khan)
Acted as Ranchos Chanchad

5.The One(Jet Li)

6.Drunken Master(Jackie Chan)

7.Enter The Dragon(Bruce Lee)

8.Kirikou

9.Ben 10.

10.Commando(Anorld Schweznegger)

Taja zako na useme ulichozipendea
Mbona wewe haujasema ulichozipendea hizo movies ulizotaja?..[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Bila the hard way mniga analiwa na mamba, no retreat no sullendar tamka(no stiki no salenda) huu uzi utakuwa ni batili
 
1:Ridiculous 6
2:Little man
3:Houseful 1-4
4:Titanic
5:Night School
6:Uncle Drew
7PK
8:3 Idiots
9:Heyy Baby
10:Girls trip
11:Hood of horror
12:Keanu
13:Big Momas
 
1:A Nun
2:Wrong Turn
3:Saw
4:The Collector
5Drug me to hell
6:A Day of Death
7:Titanic
 
Back
Top Bottom