Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,715
- 8,058
Wadau, ulishawahi kuangalia movie kuna vitu ukawa unaviona kuwa ni uongo kabisa ila unasema tu "Duuh huu uongo mwingine bhana" lakini unaendelea kuangalia alafu ile umemaliza tu kuangalia unasema "Daah, Nimedanganywa lisaa lizima na nusu nikiwa nimekaa hapa hapa!"