Movie nyingine Bhana

Movie nyingine Bhana

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,715
Reaction score
8,058
Wadau, ulishawahi kuangalia movie kuna vitu ukawa unaviona kuwa ni uongo kabisa ila unasema tu "Duuh huu uongo mwingine bhana" lakini unaendelea kuangalia alafu ile umemaliza tu kuangalia unasema "Daah, Nimedanganywa lisaa lizima na nusu nikiwa nimekaa hapa hapa!"
 
Wadau, ulishawahi kuangalia movie kuna vitu ukawa unaviona kuwa ni uongo kabisa ila unasema tu "Duuh huu uongo mwingine bhana" lakini unaendelea kuangalia alafu ile umemaliza tu kuangalia unasema "Daah, Nimedanganywa lisaa lizima na nusu nikiwq nimekaa hapa hapa!"
JUZIKATI NLIANGALIA MUVI KWENYE BASI YA WAZUNGU YA UONGO HADI NKAWA NACHEKA.
 
Taja movie yoyote uliyowahi kuangalia ukaona hapo umedanganywa kabisaa...
 
Wadau, ulishawahi kuangalia movie kuna vitu ukawa unaviona kuwa ni uongo kabisa ila unasema tu "Duuh huu uongo mwingine bhana" lakini unaendelea kuangalia alafu ile umemaliza tu kuangalia unasema "Daah, Nimedanganywa lisaa lizima na nusu nikiwq nimekaa hapa hapa!"
Bongo movie moja wameigiza watu wa Morogoro inaitwa Return of masailo dah!ñgoja nicheke kwanza

Hahahahahaha

Yani wale jamaa waongo jamani mwe, yani eti katoto kamekuwa kazombie kanang'ata watu shingoni

Pembeni unaona kabisa kama mtu anamimina tomato sauce,katoto kenyewe meno yapo juu juu tu
Bongo movie acha kabisa,kuna wanaojitahidi,vilevile kuna wanaoharibu soko

Tangu siku hiyo sina hamu na bongo movie za kutisha wizi mtupu.
 
Hzo za kihindi zinaoneshwa Azam saiv mi nmeacha kuangalia uongo uongo wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ah haa haaa haaaaa
Bongo movie moja wameigiza watu wa Morogoro inaitwa Return of masailo dah!ñgoja nicheke kwanza

Hahahahahaha

Yani wale jamaa waongo jamani mwe, yani eti katoto kamekuwa kazombie kanang'ata watu shingoni

Pembeni unaona kabisa kama mtu anamimina tomato sauce,katoto kenyewe meno yapo juu juu tu
Bongo movie acha kabisa,kuna wanaojitahidi,vilevile kuna wanaoharibu soko

Tangu siku hiyo sina hamu na bongo movie za kutisha wizi mtupu.
 
ile movie ya kuwa Tanzania bado kidogo sana tutakuwa donor country![emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom