Jina la Movie nilioishangaa sana!Una maana gani?
Ok sawa mkuu.Jina la Movie nilioishangaa sana!
Hahaaa...mule mule tu mambo kama ya Meg....Jurassic World/Park
JUZIKATI NLIANGALIA MUVI KWENYE BASI YA WAZUNGU YA UONGO HADI NKAWA NACHEKA.Wadau, ulishawahi kuangalia movie kuna vitu ukawa unaviona kuwa ni uongo kabisa ila unasema tu "Duuh huu uongo mwingine bhana" lakini unaendelea kuangalia alafu ile umemaliza tu kuangalia unasema "Daah, Nimedanganywa lisaa lizima na nusu nikiwq nimekaa hapa hapa!"
Kuna yule zombi mnene kwenye hobbit alijifunga mawe kichwani alafu akakimbia then akajirusha kama mshale kwenye ukuta akitanguliza kichwa...nilicheka sana na kujisemea mazombi hawana akiliHobbit and battle of five armies ni moja ya movie aliyotizama mtoa mada I guess
Bongo movie moja wameigiza watu wa Morogoro inaitwa Return of masailo dah!ñgoja nicheke kwanzaWadau, ulishawahi kuangalia movie kuna vitu ukawa unaviona kuwa ni uongo kabisa ila unasema tu "Duuh huu uongo mwingine bhana" lakini unaendelea kuangalia alafu ile umemaliza tu kuangalia unasema "Daah, Nimedanganywa lisaa lizima na nusu nikiwq nimekaa hapa hapa!"
Bongo movie moja wameigiza watu wa Morogoro inaitwa Return of masailo dah!ñgoja nicheke kwanza
Hahahahahaha
Yani wale jamaa waongo jamani mwe, yani eti katoto kamekuwa kazombie kanang'ata watu shingoni
Pembeni unaona kabisa kama mtu anamimina tomato sauce,katoto kenyewe meno yapo juu juu tu
Bongo movie acha kabisa,kuna wanaojitahidi,vilevile kuna wanaoharibu soko
Tangu siku hiyo sina hamu na bongo movie za kutisha wizi mtupu.