Ndo nimewawekea watoto wangu sa hivi waburudike!Jurassic World/Park
TransformersJurassic World/Park
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,itakuwa ilikuwa ni comedy sio action.Nmekumbuka movie ya kibongo ya Action jamaa eti wanapga risasi ikimshika jamaa damu zinayeyukia kwenye screen, ndege inalipuliwa inaanguka chini ikifika chini inayeyuka hata eneo la tukio linakosekana, gari linagonga mtu halafu shoo ya mbele bado mpya na majeruhi hana jeraha.
Ya serious mkuu, tena ndani yumo tino,,, yy ndo commando...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,itakuwa ilikuwa ni comedy sio action.