Movie nyingine Bhana

Movie nyingine Bhana

Movies nyingi za bollywood
kwa leo ntaitaja singham ya ajay devghan
 
Nmekumbuka movie ya kibongo ya Action jamaa eti wanapga risasi ikimshika jamaa damu zinayeyukia kwenye screen, ndege inalipuliwa inaanguka chini ikifika chini inayeyuka hata eneo la tukio linakosekana, gari linagonga mtu halafu shoo ya mbele bado mpya na majeruhi hana jeraha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,itakuwa ilikuwa ni comedy sio action.
 
Ya serious mkuu, tena ndani yumo tino,,, yy ndo commando...
tino45.jpeg
 
Back
Top Bottom