AsanteTafuta fifty shades of grey zipo tatu kama sikosei
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yeye ana 25 na hapendi actionInategemea yeye anapenda movie gani sasa, mademu wengi ni wapenzi wa action and thrillers!
Wanawake waliokomaa kidogo ndio hupenda romantic movies! 28 and above ukiona bado linapenda movie za Anodi mpaka age hio jua mtambo huo! Usioe!
Tafta “love for sale” hizi ndio movieYeye ana 25 na hapendi action
Tafta “love for sale” ama “love don’t cost a thing” nina hakika hazijui maana alikuwa mdogo wakati zimetoka!Yeye ana 25 na hapendi action
Ingine ni “love jones” zikiisha hizi tatu hujamgonga uje nikuchape makofi dogo![emoji2] ongezea na nyingine.ujue nakukubali sana huwa hukosei.
Wahuni bana, yan unamsaidia kwenda kwenye tendoTafta “love for sale” ama “love don’t cost a thing” nina hakika hazijui maana alikuwa mdogo wakati zimetoka!
Level yako ya uhuni si ndogo😂😂😂😂Ingine ni “love jones” zikiisha hizi tatu hujamgonga uje nikuchape makofi dogo!
Kaja kwa baharia hapa lazma nimuokoe mdogo wangu asiwe kinyonge! Hizo movie kama sala ya machinjio 😂😂😂 ukiziangalia na rijali lazma uliwe mzigo tuWahuni bana, yan unamsaidia kwenda kwenye tendo
Kazi njemaUsijali mkuu sitokuangusha
Inategemea yeye anapenda movie gani sasa, mademu wengi ni wapenzi wa action and thrillers!
Wanawake waliokomaa kidogo ndio hupenda romantic movies! 28 and above ukiona bado linapenda movie za Anodi mpaka age hio jua mtambo huo! Usioe!
Njoo tuangalie wote bas nina ingine nzuri kwa ajili yako😅Level yako ya uhuni si ndogo😂😂😂😂
Tafuta fifty shades of grey zipo tatu kama sikosei
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app