baby zu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,816
- 4,770
Bahat nzuri nshapita hayo mambo ten yrs ago hahahahah now nachangia mada za uzoefu wa ndoa😂😂😂Kaja kwa baharia hapa lazma nimuokoe mdogo wangu asiwe kinyonge! Hizo movie kama sala ya machinjio 😂😂😂 ukiziangalia na rijali lazma uliwe mzigo tu