Bahat nzuri nshapita hayo mambo ten yrs ago hahahahah now nachangia mada za uzoefu wa ndoaπππKaja kwa baharia hapa lazma nimuokoe mdogo wangu asiwe kinyonge! Hizo movie kama sala ya machinjio πππ ukiziangalia na rijali lazma uliwe mzigo tu
Level ngingne bro, tunapambana na ma ada haya mambo hata hatuna mda nayoNjoo tuangalie wote bas nina ingine nzuri kwa ajili yakoπ
Hahahah respect!Level ngingne bro, tunapambana na ma ada haya mambo hata hatuna mda nayo
Well safi sana napenda wazoefu wenzangu sie bado we just lurkin sema tutaoa soonBahat nzuri nshapita hayo mambo ten yrs ago hahahahah now nachangia mada za uzoefu wa ndoaπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea yeye anapenda movie gani sasa, mademu wengi ni wapenzi wa action and thrillers!
Wanawake waliokomaa kidogo ndio hupenda romantic movies! 28 and above ukiona bado linapenda movie za Anodi mpaka age hio jua mtambo huo! Usioe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inategemea yeye anapenda movie gani sasa, mademu wengi ni wapenzi wa action and thrillers!
Wanawake waliokomaa kidogo ndio hupenda romantic movies! 28 and above ukiona bado linapenda movie za Anodi mpaka age hio jua mtambo huo! Usioe!
We unapendaje movie za ngumi bana π π π ushakuwa mkubwa angalia za love story now[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba siye above 28 bado tunapenda Action movie ni mtambo? Sijapenda Extrovert.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sawa nitajitahidi kuacha.We unapendaje movie za ngumi bana [emoji28][emoji28][emoji28] ushakuwa mkubwa angalia za love story now
Kwa comment hii...(answer found)find & watch 'kiss and kill' sinngle muv
Bro, hawa wanawake wa kibongo muvi zao ni za tini white na mzee kojani. Kama ni ya kizungu iwe ya dj mark mzeee wa rubuuuuuuuudanInategemea yeye anapenda movie gani sasa, mademu wengi ni wapenzi wa action and thrillers!
Wanawake waliokomaa kidogo ndio hupenda romantic movies! 28 and above ukiona bado linapenda movie za Anodi mpaka age hio jua mtambo huo! Usioe!
Ngoja niitafute love for sale ila hiyo nyingine ninayo...Tafta βlove for saleβ ama βlove donβt cost a thingβ nina hakika hazijui maana alikuwa mdogo wakati zimetoka!
Kwa hiyo shemeji amekuja kucheck move sio?Habari za muda huu wapendwa.
Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically [emoji39]...
Game of thrones