Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unatuambia nini tunaomuangalia Arnold hadi leo?[emoji23]Inategemea yeye anapenda movie gani sasa, mademu wengi ni wapenzi wa action and thrillers!
Wanawake waliokomaa kidogo ndio hupenda romantic movies! 28 and above ukiona bado linapenda movie za Anodi mpaka age hio jua mtambo huo! Usioe!
Raha ya movie watu wanyukane ngumi[emoji23].We unapendaje movie za ngumi bana [emoji28][emoji28][emoji28] ushakuwa mkubwa angalia za love story now
We bado mdogo ukifika 28 utaangalia movie za kikubwa 😅😅😅Raha ya movie watu wanyukane ngumi[emoji23].
Mimi movie ikishaanza tu kuwa na maneno maneno mengi bila vitendo naichoka na siwezi kufwatilia..nitaendelea na biashara zangu,hadi inaisha nakuwa sijui hata ilipotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwaoi! Mwanamke anaangalia movie za ngumi anataka agundue nini 😅???
Ya ukweli sanaNgoja niitafute love for sale ila hiyo nyingine ninayo...
[emoji23]We bado mdogo ukifika 28 utaangalia movie za kikubwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Tuangalie wanaume wa kazi wanavyotwangana[emoji38].Hatuwaoi! Mwanamke anaangalia movie za ngumi anataka agundue nini [emoji28]???
Mnatakiwa muangalie wanaume wanavyowala kimasihara bana
Ya ukweli kinoma.Ya ukweli sana
Acha ujinga mkuu.Tafuta movie ile ya Yesu.
Angalieni Bubble buxxx feat. Cherokee d'assHabari za muda huu wapendwa.
Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically [emoji39].
Mimi kuna series moja ambayo nadhani wengi wenu mnaifahamu inaitwa blood and sands (SPARTACUS). Hiyo kila nikipokuwa naiangalia nikiwa peke yangu lazima nipige nyeto [emoji2].
Sasa wifi yenu amekuja nataka tukiwa free tunachek muvi. Naombeni mnishirikishe ni muvi gani itanifaa.
NB: Isiwe Bongo Movies [emoji35].
Hizo zinawafaa wanandoa.Mnatakiwa muangalie wanaume wanavyowala kimasihara bana
Asante. Ni single au series