Movie Reviews

Hahahaha mimi mdau sana sanaaa,
Nakumbuka kuna kipindi niliwahi hadi kugombana na mtu fulani nyumbani wakisema nimezidi.
Hahaa!!...hizi movie zinavutia sana kuzifatilia maana visa vyake ni continuous kuna kama ile Movie series ya Insurgence inabadilishwa majina sana mpaka nikashindwa endelea nayo kuifatilia.
 
Kuna Star Wars Last Jedi ipo out tayari!!..
 
best of the best is matrix..
mkuu Malcom Lumumba angalia hii kitu. ndo movie iliyobadilisha maisha ya cinema zote za super hilo.. Franchise yake si ya kitoto...
Halafu unajua Matrix deal lingekuwa la Will Smith kuigiza lakini akawagomea ili aigize Wild Wild West!.. Matrix wanaponichanganya ni ile ya Mwisho Nero anapojisacrifice ili Kurestart the Program halafu haieleweki kaenda wapi!!..
 
Nilianza zifatilia hizo lakini ikafika kipindi nikapoteza External yangu, kuna hizo na zile stargate series!..
 
Hivi Jeeper Creeppers umeiona ??
Hahaha nimeziona aseehh!!...Ule uuwaji ndio ambao sasa siwezi fatilia kwa kweli!!..Hua naanza watukana actors as if wananisikia[emoji23].
Umeiangalia SAW mpya me nikiikuta naipita tu kuipakua.
 
CGI za Lords of the Rings ni funga kazi aisee!
Hivi kama yule Gollum (Smeagol) niambie walivyompatia...!
Hahaha!!...af unajua smigol ni yule cumberbach star wa doctor strange, au khan kwenye Star trek/sherlock holmes!!...
Yani hiyo Lord of the Ring na War Craft wamemaliza CGI zao si mchezoo!!..
 
Halafu unajua Matrix deal lingekuwa la Will Smith kuigiza lakini akawagomea ili aigize Wild Wild West!.. Matrix wanaponichanganya ni ile ya Mwisho Nero anapojisacrifice ili Kurestart the Program halafu haieleweki kaenda wapi!!..

Hahahaha Wild Wild West,
Kuna iles sehemu Raisi Grant alikuwa anafungua Reli akagonga Msumari akasema ghafla Dr Loveless akaja na Ule M-Talantula wake akasema "Isn't it General Ulysses Grant himself" hhahahaha ile movie bwana...!
 
Nilianza zifatilia hizo lakini ikafika kipindi nikapoteza External yangu, kuna hizo na zile stargate series!..
Star Gate ambayo niliangalia mwisho kabisa ni The Ark of Truth nikajaribu kuangalia ile Series ya Star gate Atlantis nikaona imekosa kabisa ubunifu wa zamani nikaachana nayo..!
 
Hahahaha Wild Wild West,
Kuna iles sehemu Raisi Grant alikuwa anafungua Reli akagonga Msumari akasema ghafla Dr Loveless akaja na Ule M-Talantula wake akasema "Isn't it General Ulysses Grant himself" hhahahaha ile movie bwana...!
Hahaha!!..wanasumbua sana mure!.Hia nikiiangalia naikumbuka Ringo tu![emoji23]
 
Hahaha!!...af unajua smigol ni yule cumberbach star wa doctor strange, au khan kwenye Star trek/sherlock holmes!!...
Yani hiyo Lord of the Ring na War Craft wamemaliza CGI zao si mchezoo!!..
Hahahaha hivi ni Cumberbatch yule...
The Preciouuuus......!Sikuwahi kujuaa daah!
 
Star Gate ambayo niliangalia mwisho kabisa ni The Ark of Truth nikajaribu kuangalia ile Series ya Star gate Atlantis nikaona imekosa kabisa ubunifu wa zamani nikaachana nayo..!
True na hicho ndio nilichokiona kwenye Walking Dead baada ya season 6 unaona kabisa hakuna jipya!!..
 
Hahaha nimeziona aseehh!!...Ule uuwaji ndio ambao sasa siwezi fatilia kwa kweli!!..Hua naanza watukana actors as if wananisikia[emoji23].
Umeiangalia SAW mpya me nikiikuta naipita tu kuipakua.

Hahahaha SAW nimeshindwa kabisa kuingalia mazee,
Kuna jamaa yangu alikuwa na Blue Ray Disc Original sasa hadi kwenye kasha lake pale nje kulikuwa na ile alama ya Jig-Saw imevimba kwa juu halafu ndani yake kuna damu sijui...Ukitikisa kava, damu nayo inatikisika kabisa. Hivi imagine si Ushetani ule mazeee ???
 
Hahahaha hivi ni Cumberbatch yule...
The Preciouuuus......!Sikuwahi kujuaa daah!
Hahaa!!...Ndiye jamaa mwenyewe, kampatia sana!..
Nilisoma sehemu wakati John Depp anaanza kuigiza Captain Sparrow directors walitaka kumchomoa kuziigiza waliona mbona haeleweki na anaigiza wasivyotaka!..Jamaa akawakazia wamuache aigize anavyopenda kilichofata sasa Captain Sparrow anajina zaidi ya Movie zake [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…