Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mimi mdau sana sanaaa,
Hahahaha ila Darth Vader ni nyang'au aiseee!Ila kwa sci-Fi nlioipenda kidogo ni star wars kina dath vader,obi wan kenobi na anakin skywalker si mchezo!
Walikuwepo kwenye star trek ama nimechanganya...... Nipe mwanga hilo jina tu linaongea mengi lazima sio wa mchezo mchezo hao 😀😀😀Palantir zitto junior mnawafahamu The Obsidian Order ??
Ewaaaaaaa, hao hao!Walikuwepo kwenye star trek ama nimechanganya...... Nipe mwanga hilo jina tu linaongea mengi lazima sio wa mchezo mchezo hao 😀😀😀
best of the best is matrix..
mkuu Malcom Lumumba angalia hii kitu. ndo movie iliyobadilisha maisha ya cinema zote za super hilo.. Franchise yake si ya kitoto...
@Palantir Prometheus ilikuwa nzur kuliko hii Alien Convinant, Alien Convinant ilikaa ki action zaid. Wakati mission ilikuwa kutafuta chanzo cha human kind...
Mkuu inahusu nini hii maana napenda sana zile movie zinakuwa na suspende mwishoni!..Palantir zitto junior mnawafahamu The Obsidian Order ??
Mkuu inahusu nini hii maana napenda sana zile movie zinakuwa na suspende mwishoni!..
Mambo ya series za X-files, Bones, CSI Miami na CSI new york sio!?...Haahaaa tuko tofauti kidogo mimi naonaga Science fiction kama too much of fantasy hivyo sizikubali kihivyo maana teknolojia ya humo za ajabu mara mtu anaweza ku-video call na "the future"?? Mara mtu anaweza kurudi back in time let alone silaha zinazotumika humo too much fantasy
Movie nazopenda ni zile crime thriller hasa zenye kuonyesha jinsi ya wanausalama na forensic investigators wanavyo tegua vitendawiili vya uhalifu bila kusahau a lot of hacking zipo involved humo dah burudani tupu napenda sana movie za kufikirisha hivyo jinsi watu wanavyowekeza akili kwenye kutatua matatizo
Ila kwa sci-Fi nlioipenda kidogo ni star wars kina dath vader,obi wan kenobi na anakin skywalker si mchezo!
Me napoangalia movie siangalii ushawishi wake tu, naangalia na technology iliyotumika kuitengeneza mambo ya CGI nayapenda sana!!..Ni nzuri ila hazina reality yaani hazishawishi, kuanzia marvel comics pote labda black panther tu ila nyingine naona kama za kudanganya watoto mf Captain america winter soldier