Movie Reviews

Movie Reviews

kudownload lazima uwe na torrent au tixati software... ukiwa una torrent una tumia huo mshare kupakua... na ukiwa na tixati una tumia hiyo sumaku au "U" kupakua.... enjoy Jo....
 
Mkuu mambo vipi kwanza
Aise samahani ila naomba unisaidie hii series nimeingalia vipande vipande tofaut tofaut nikitaka kudownlod nakuta full nashidwa hebu nipatie sehemu ambayo naweza nikadownlod full movie kwa mpangilio kwanzia episode moja mpaka ya mwisho.. ..
Nisaidie boss
Ungekua unataka kutizama online, ningekuwekea link hapa, ungetizama Season zote...
 
ningekusaidia bro ila kwa sasa me nafanya biashara kwa anae taka series yoyote ile marecani ambazo zenye quality ya hali ya juu na uza kila episode moja jero ila kma ni movie moja buku jero unaweza kuipata kweny cm au pc yko popote pale ulipo duniani samahani sana damu yang kma itakuw nimekosea.
Season ipi ya kiinteligensi au kali ya kizungu ya hv karibuni unayo?
Bei ya season ni ngap?
 
Mkuu mambo vipi kwanza
Aise samahani ila naomba unisaidie hii series nimeingalia vipande vipande tofaut tofaut nikitaka kudownlod nakuta full nashidwa hebu nipatie sehemu ambayo naweza nikadownlod full movie kwa mpangilio kwanzia episode moja mpaka ya mwisho.. ..
Nisaidie boss
Mkuu ebu jiongeze kidogo,hv vinapatikana bure kwenye simu yako
 
ningekusaidia bro ila kwa sasa me nafanya biashara kwa anae taka series yoyote ile marecani ambazo zenye quality ya hali ya juu na uza kila episode moja jero ila kma ni movie moja buku jero unaweza kuipata kweny cm au pc yko popote pale ulipo duniani samahani sana damu yang kma itakuw nimekosea.
Ntumie namba yko
 
kudownload lazima uwe na torrent au tixati software... ukiwa una torrent una tumia huo mshare kupakua... na ukiwa na tixati una tumia hiyo sumaku au "U" kupakua.... enjoy Jo....
Ahsante
 
Wengi kudownload wanapata shida ila ni rahis tuuu
Njia nyepesi unaweza install touch browser hii itakusaidia ukifungua tuu move utaona kitufe cha kudownload moja kwa moja.
Pili ingia kwenye website ambazo kuna online movie kama www.go.movies.net hapo ukitafuta tuuu prison break au chochote kinakuja tena quality safi baisa na unashusha mzigo kirahis sana.

Usikiri ujinga pasipo kujaribu maana ujinga ni gharama
Ahsante mkuu nimefanikiwa
 
Wakuu msaada..nimeshapakua lakini kuna sehemu wameandka seeding,nimejaribu kusubili adi nusu saa limefika bado tu imeandika seeding na kuna digit pemben yake znabadilika badilika..ukienda kwenye donlod file zinaandka cant watch..kwenye garlly hazipo
 
Kama Una Idm ingia fmovies pakua series yoyote fasta bila longo longo
 
Inaleta kama hivi wakuu
2946742621483bf3a762934a43904322.jpg
6cce18f4404c4c344808d1ca2a671c47.jpg
 
Wakuu msaada..nimeshapakua lakini kuna sehemu wameandka seeding,nimejaribu kusubili adi nusu saa limefika bado tu imeandika seeding na kuna digit pemben yake znabadilika badilika..ukienda kwenye donlod file zinaandka cant watch..kwenye garlly hazipo
Download complete hiyo,nenda gallery kachukue mzigo wako
 
Back
Top Bottom