MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Jasusi wa CIA alifanyiwa visa na Bosi wake,Inahusu nini hii crisis??
Wanakamuana humu kichiz..Mungu aliwatuma Malaika kuwamaliza wanadamu kwa dhambi,
Basi akamtuma Michael akaja lakini akajificha huku huku akasema hawezi kufanya hivyo kwasababu anajua Mungu anawapenda sana Binadamu na ile ilikuwa ni test tu kumwona alivyo. Akatumwa Gabriel wee bwana wacha aje na Legions of heaven bwana...Sasa hapo kati Mungu akaondoka Mbinguni na Malaika wakawa hawajui wafanye nini tena...Wakamalizia hasira zote huku kwa wanadamu....Walifutilia dunia nzima mbali...!

Umeicheki Downsizing ya Matt Damonhapo nimeona I kill the giant.....cjaipenda kama ni Star ningeipa 1 star.....Ilo Giant halionekani ila mwisho....Labda kwasabab stelingi ni katoto kakike...Inafaa labda kwaajili ya WATOTO.....
hahahaha!!!...Umeona Mikael alivyo humo?Wanakamuana humu kichiz..
Ila bora Michael ndo angekua mbaya ajili ya position yake mbinguni
hahahahaha!Wanakamuana humu kichiz..
Ila bora Michael ndo angekua mbaya ajili ya position yake mbinguni
Waoooh naipenda sana hiyo filamuHaahaha noma sana, hakuna kupumzika mwanzo mwisho.
Yaani Robert Patrick sidhani kama atakuja kucheza filamu kama ile
huwa unapenda animation movie!?..Wonder woman
Naipend sana hii moviee
Damon hakuwai kunuharibia movie lakini ile sikumuelewa kwakweli.Umeicheki Downsizing ya Matt Damon
Yessshuwa unapenda animation movie!?..
List yako nzuri have seen kasoro hiyo series instead niliona punisher the movie years backmission impossible
john wick
acts of vengeance
hitman
golden circle
Evelyn salt
white house down
lone survivor
the punisher hii ni series fupi ya 2017and the like....
mtazi categorize wenyewe mi nimemaliza
cheki na hiyo iko vizuriList yako nzuri have seen kasoro hiyo series instead niliona punisher the movie years back
Haha!!...naona kaanza zeeka lakini Matt Damon na Chaning Tatum hua nawaelewa sana siku hizi wakipewa action movie kama zamani alivyokuwa Nicolas Cage na Jet lee.Damon hakuwai kunuharibia movie lakini ile sikumuelewa kwakweli.
Tafuta na DC au Marvel Animation za hizo movie ili uwaelewe muendelezo wake zaidi!!..Anza na Justice League flashpoint/Paradox.Yesss
Muendelezo wake ndio hiyo Alien: Covenant, sema hawajaiita Prometheus 2.Prometheus niliipenda ila niliexpect watoe mwendelezo wa movie nyingine.....