Movie Reviews

Movie Reviews

Kuna hizi
The Martians
Interstellar
Lucy
Inception
Gravity

Science and Fiction movies zinataka concentration ya hali ya juu, which is what i like.
 
Dinyo Pale mwishoni ni meli za wazungu zinaanza kuingia America. mke wake anasema wazifuate ila yeye aligoma. John nahisi alifeki kifo ili arudi zake Mars kwa mpezi wake, nimesahau kidogo.
Mkuu confusion ilikuwa pale wale jamaa wawili hawakufa waliokuwa wanamkiza gaucho .Kumbuka walimkimbiza sana tangia porini, kufika baharini kachoka akakaa wale jamaa walivyomfikia...wakanpita wakati meli zilikuwa mbali kidogo. All in all walininyima mkono wa mwisho mwisho hahahaaa
 
Hiyo Lucy niliona kama uluminat flan Hivi pia niliifananisha kwa mbaki na limit less ta Bradley Copper.
Yeah zimeendana na naona Limitless waliitolea na series yake mara mojamoja anatokea Bradley kama Meya wa jiji anaecontrol drug distribution.
 
Nafkiri hii no 10 ni kama transcendence ya Matt Damon sema ktk style ya tofauti. Shida inakuja pale ambapo yule ghost anavyohusika mwanzoni na mwishoni pale pia sikupata majibu
Trancendence ni John Depp mkuu ila hii Interstellar nishaga shindwa kuielewa maana kama jamaa anajiona hivi..
 
Inception inasumbua sana kuelewa. Hadi niliposoma plot yake wikipedia ndiyo nilielewa vizuri.
Wakati mwingine ma director wanapenda kutuacha hewani. Ni sawa na ile sixth sense sikujua ni wakati gani Bruce Wills alikufa
 
Back
Top Bottom