aahh me na wahindi hata siku nawaona wanazingua tu!..Wahindi sjui hawa aiseee nzuri View attachment 824604
Me nimeicheki hiyo, ila ningependa kuona kisa cha ile lab kuharibika!!..
ukiangalia hiyo baadae ndio unakuja msumbua engineer kutaka akufanyie hivyo🙂Wahindi sjui hawa aiseee nzuri View attachment 824604
Mpaka nimetamani kubeba kibendi wajamenukiangalia hiyo baadae ndio unakuja msumbua engineer kutaka akufanyie hivyo🙂
Unakodisha tumbo niweke mzigo wangu!..Mpaka nimetamani kubeba kibendi wajamenView attachment 824609
Nakodisha tutaandika mkataba tuUnakodisha tumbo niweke mzigo wangu!..
Sijaicheki hii.
Nna alergy na masharti, tusiandike tuweke promise!.Nakodisha tutaandika mkataba tu
hehehee, ebwanaa eeh hebu itafute.Sijaicheki hii.
Hivi unajua sikaha kama zile NAZIS na SOVIETS walitaka kuzitengeneza lakini walikuwa wanashindwa ???Me nimeicheki hiyo, ila ningependa kuona kisa cha ile lab kuharibika!!..
Infinity war yenye quality nzur nta pata wapi bossNick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.
I have an idea.. to bring together a group of remarkable peopleUmeongea vitu vingi mkuu..ila from the beginning aliyetoa wazo la kuunda timu ni NICK FURY..
Nakuomba ukaangalie CAPTAIN AMERICA 1 kwny post credit scenes utaona jamaa ndo alimuhifadhi Steve rodgers pale New york(steve rodgers alilala kwa miaka km 70 hivi km sijakosea..)
Rejea pia kwny TRAILER YA AVENGERS utasikia sauti ya NICK FURY INAZUNGUMZIA IDEA YA Kukusanya supersolders na superhumans kwa ajili ya kupambana na threats zinzotoka nje ya dunia..
Fanya hvyo mkuu utapata jibu..
We are venomVenom Naisubir kwa hamu sana...
Spectral ni kiboko sana aiseee[emoji2][emoji2] wale jamaa wali mess with the wrong enemy
Wapi naweza download infinity war ya quality safiLabda watamleta yule black sasa!!... hivi unajua aliyeact Cable ndio Thanos pia.
Hahaha promise huwa zinavunjika mkataba ndo kila kituNna alergy na masharti, tusiandike tuweke promise!.
Nina listi ndefu sana ya muvi za marvel niziangalie sijui kama nitamaliza..We are venom
Venom ina nogeshwa zaidi na uwepo wa tom hardy...Nina listi ndefu sana ya muvi za marvel niziangalie sijui kama nitamaliza..
Naam.Venom ina nogeshwa zaidi na uwepo wa tom hardy...