Movie Reviews

Movie Reviews

ukiangalia hiyo baadae ndio unakuja msumbua engineer kutaka akufanyie hivyo🙂
Mpaka nimetamani kubeba kibendi wajamen
image_search_1533119469151.jpg
 
Nick Fury ni director wa s.h.i.e.l.d hana nguvu yeyote Avengers!... Tony Stark baada ya kuona threat inayowakabili au anazohisi zitakuja baada ya kwenda another dimension akalitoa jengo lake kama makao makuu na akaiita Avengers (tower ilikuwa inaitwa STARK Tower ila likawa limeharibika jina imebaki herufi A peke yake) hebu irudie movie.
Hivi unajua Utron motive kuundwa ilikuwa nini?... Baada ya Tony kuwatupia nyuklia bomb wale wasaidizi wa Loki, akajua kabisa in the future there are bigger threats to earth to come ndio akaamua kumtengeneza Utron, kinyume chake Utron akawaona binadam ndio bigger threat to earth akaamua aumalize ulimwengu wote atengeneze kizazi cha robots. (ndoto anayoiogopa tony ilionyeshwa alipokuwa boosted na scarlet witch pale anapoona wenzie wote wamekufa)
Ukiiangalia Infinity War pale stark kamuokoa Dr. Strange toka kwa Ebony Maw akawa anaulizwa kama anaweza drive ile starship akasema "in my whole life i dream of this bigger threat to come n' now its in my backyard" kama sijasahau!..
So Nick Fury hana authorization yoyote Avengers labda useme S.H.I.E.L.D.
Infinity war yenye quality nzur nta pata wapi boss
 
Umeongea vitu vingi mkuu..ila from the beginning aliyetoa wazo la kuunda timu ni NICK FURY..
Nakuomba ukaangalie CAPTAIN AMERICA 1 kwny post credit scenes utaona jamaa ndo alimuhifadhi Steve rodgers pale New york(steve rodgers alilala kwa miaka km 70 hivi km sijakosea..)

Rejea pia kwny TRAILER YA AVENGERS utasikia sauti ya NICK FURY INAZUNGUMZIA IDEA YA Kukusanya supersolders na superhumans kwa ajili ya kupambana na threats zinzotoka nje ya dunia..

Fanya hvyo mkuu utapata jibu..
I have an idea.. to bring together a group of remarkable people
 
Back
Top Bottom